Marakeni kushuhudia dhoruba ya wimbi la wahamiaji haramu Alhamisi hii

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,660
46,342
Inakadiriwa wahamiaji haramu takribani 60,000 kutoka nchi mbalimbali wapo katika mpaka wa Mexico na Marekani tayari kuzamia Marekani wiki hii pale sheria ngumu ya kuwaondoa wakimbizi ya Title 42 itakapofikia ukomo Alhamisi ya wiki hii.

Title 42 sheria iliyopitishwa na Trum wakati wa covid ilitumika juu ya sheria nyingine za uhamiaji kwaondoa kwa haraka wahamiaji haramu kwa vigezo vya usalama na afya ya jamii. Utawala wa Trump ulizuia na kuawaondoa wahamiaji takribani million 2.

Suala la uhamiaji linaweza kuwa msumari mmojawapo kwa Democrats katika uchaguzi ujao kwani wanaonekana wana huruma sana kwa wahamiaji haramu.
 
Shida ni maisha bora hata sio amani.
Ndio maana watu husema.ni bora wakaoshe vizee vya kizungu ny'a ila sio kuishi bongo.

Juta kuzaliwa Tanzania
jinga hivi unatapika huu uharo ukiwa ndani ya ardhi ya tanzania mama .......yaani umezaliwa hapa hapa ume inyea ardhi ya tanzania ...umeikanya nayo imekutunza .....sio bure umejenga na nyumba juu ya ardhi na ndani ya mipaka ya tanzania ....
aiseee yaani unathubutu kuongea huo utumbo wa bata hapo juu ........yaani watu kama nyie mnafaa mtangulie mbele za haki ....hamfai kuishi chini ya jua ....
shenzi ...
 
Ila Marekani inajaa watu, hebu fikiria watu zaidi ya 60,000 waingie nchini kwako at a go.

Tanzania tuliwahi kuwa na wakimbizi 100K ila kelele zilikuwa nyingi.

Kwanini Wakimbizi hawaendi Uarabuni au China?
 
Mahaba upofu!
images.png
 
Umefura!
 
😳🙌
 
Wewe lofa acha ufala.
Juta kuzaliwa Tanzania wewe, baba yako na nduguzo mna majumba yenye roof ndefu sanaaa huo ni umasikini tayari.

Na huna uwezo wa kunitanguliza mbele ya hiyo haki hata aje bibiyo na shangaziyo
 
Ila Marekani inajaa watu, hebu fikiria watu zaidi ya 60,000 waingie nchini kwako at a go.

Tanzania tuliwahi kuwa na wakimbizi 100K ila kelele zilikuwa nyingi.

Kwanini Wakimbizi hawaendi Uarabuni au China?
Halafu anatokea mwendawazimu maamuma mmoja anakwambia Marekani hakufai , wachina wenyewe wengi wanakimbilia Marekani ,mwaka huu mpaka WA Mexico imepokea wahamiaji haramu toka china Kwa ongezeko la zaidi ya Asilimia 900% ,sijui mnaelewa tunaposema asilimia 900% ?
Warusi maelfu wanakimbilia Marekani na ni wengi mwaka huu
 
Back
Top Bottom