Kusafisha.makaburi ya wahanga wa awamu ya tano.Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Hahaha hatufahamu wamezikwa wapi, kasoro aliyewahi kuwa mkurugenzi wa jiji la Dar es salaamKusafisha.makaburi ya wahanga wa awamu ya tano.
Wanasema Tanzania kashindwa, huko SADC bado anafundisha kiswahili kazi haijaanza, unadhani ataweza kutoa elimu gani ikiwa wanasema kashindwa hata kutawala, kuongoza alishindwa tangu akiwa waziri.Itumike kutoa elimu kwa vijana wa Kiafrika kuhusu uongozi, maana Magufuli kwa kweli ameweza kudhihirisha makubwa.
Wanasema Tanzania kashindwa, huko SADC bado anafundisha kiswahili kazi haijaanza, unadhani ataweza kutoa elimu gani ikiwa wanasema kashindwa hata kutawala, kuongoza alishindwa tangu akiwa waziri.
Wanasema ukiwa hujiwezi darasani au kwa lugha rahisi wanasema ukiwa mjinga, siku zote walio karibu yako watakufariji kwamba unaweza tu jitahidi, zile za "yes you can" hata kama wanaujua ukweli kwamba huna akili kabisa bado wata kufariji tu.Magufuli kaweza pakubwa sana kwenye
- Ukuaji wa uchumi
- Miundo mbinu
- Kupigana na mafisadi
- Kuhakikisha mabeberu wanaachia japo kidogo, sio kubeba kila raslimali
- Miundo mbinu mikubwa na ya kisasa
Jameni kuna mengi tu, sio vizuri kujifanya vipofu, mara moja moja ni jambo la busara kukubali pale ambapo kuna mazuri.
Ni rais amekuja juzi tu, lakini anazungumzwa na kutajwa Afrika yote, yaani huyu angepewa Tanzania baada ya Nyerere, hakika nchi ingekua kiongozi Afrika hii.
Tena nampendea kwenye kueneza Kiswahili, ukija kama mgeni yeye anakomalia Kiswahili, wewe utajipanga na kupataa tafsiri yake, sio leo Mchina aje anaongea Kichina halafu mwenyeji unamjibu kwa kingereza, kila mtu aongee lugha yake halaafu wakalimani watatutafsiria.
Anayo mapungufu kama binadamu, lakini mazuri yake ni mengi na ya muhimu.
Zote. Ukiwemo wewe. Watu pia ni rasilimali.Zipi?! Maana rasilimali ni nyingi sana
Eti Magufuli Foundation...mfuko utachangiwa na Nani hana heshima yoyote duniani...labda achangiwe na Bashite na Musiba maana hata Wakati huo Mfugale wa Tanroads na Kakoko wa TPA watakuwa wamekufa, au labda watakuwa jela kwa makosa ya ubadhirifuTuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Itafute wale watu 'wasiojulikana' ili wajulikane. Pia ishighulikie kutafuta watu 'waliopotea' wakiwemo akina Ben Saa Name, Azory Gwanda n.k.Angalao ungesema 2030, 2025 nimetumbukiwa nyongo. Unahitajika muda kunyorosha nchi hii ilivurugwa sana hapa juzi kati. Mara tu kusha sahau ule msemo wa mwanamfalme!!!
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Hahaha achangiwe vipi naye ni donor contreEti Magufuli Foundation...mfuko utachangiwa na Nani hana heshima yoyote duniani...labda achangiwe na Bashite na Musiba maana hata Wakati huo Mfugale wa Tanroads na Kakoko wa TPA watakuwa wamekufa, au labda watakuwa jela kwa makosa ya ubadhirifu
Ebu tuambie Tanzania imepanda kwa lipi?Hahaha useme kashindwa nini, wao wanasema nchi zote za Afrika wanamtaka kwa jinsi alivyoipaisha Tanzania. Wewe unaposema kashindwa inabidi useme kashindwa nini,lini wapi.
Toa maoni foundation yake ijikite kufanya nini.
Hahaha asante, nini kimekuudhi ujumbe au messenger?!Kazi yenu kuota mchana na mnajicoment wenyewe fu*kny wewe mleta mada hii
Unadhani ni mimi nasema hayo basi?! Ni waoEbu tuambie Tanzania imepanda kwa lipi?
Umekasirika nini tena?!Kwani 2025 patakuwa na nini mpaka pawe na foundation? Tujuwavyo Rais Dr Magufuli ni mpaka 2035 whether you believe it or not this is the reality!! Mnafikiria ya 2025 kana kwamba katiba ya Tanzania ni Biblia/Msaafu!!!!! Acheni hizooo. Tunahisi wabunge wa vyama vya upinzani 2020 watakuwa 10 tu tena wa kutoka Zenj! 2015 walitumbukiza shillingi chooni kwa sababu ya kupenda ubinafsi(egoistic)!
kwamba wanamtaka aende akawe Rais wao, usilazimishe watu kile unachoamini wewe, hiyo foundation itakuwa ya hovyo kuliko foundation zote TanzaniaHahaha useme kashindwa nini, wao wanasema nchi zote za Afrika wanamtaka kwa jinsi alivyoipaisha Tanzania. Wewe unaposema kashindwa inabidi useme kashindwa nini,lini wapi.
Toa maoni foundation yake ijikite kufanya nini.
Hahaha mimi naandika maneno yao wao, kwamba ni Rais bora, hayo siyo maoni yangu, nilikuwa namueleza mchangiaji atoe maoni kuhusu Magufuli Foundationkwamba wanamtaka aende akawe Rais wao, usilazimishe watu kile unachoamini wewe, hiyo foundation itakuwa ya hovyo kuliko foundation zote Tanzania