Baada ya 2025, Magufuli Foundation mngependa ifanye nini...

Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Kusafisha.makaburi ya wahanga wa awamu ya tano.
 
Itumike kutoa elimu kwa vijana wa Kiafrika kuhusu uongozi, maana Magufuli kwa kweli ameweza kudhihirisha makubwa.
Wanasema Tanzania kashindwa, huko SADC bado anafundisha kiswahili kazi haijaanza, unadhani ataweza kutoa elimu gani ikiwa wanasema kashindwa hata kutawala, kuongoza alishindwa tangu akiwa waziri.
 
Magufuli kaweza pakubwa sana kwenye
- Ukuaji wa uchumi
- Miundo mbinu
- Kupigana na mafisadi
- Kuhakikisha mabeberu wanaachia japo kidogo, sio kubeba kila raslimali
- Miundo mbinu mikubwa na ya kisasa

Jameni kuna mengi tu, sio vizuri kujifanya vipofu, mara moja moja ni jambo la busara kukubali pale ambapo kuna mazuri.
Ni rais amekuja juzi tu, lakini anazungumzwa na kutajwa Afrika yote, yaani huyu angepewa Tanzania baada ya Nyerere, hakika nchi ingekua kiongozi Afrika hii.
Tena nampendea kwenye kueneza Kiswahili, ukija kama mgeni yeye anakomalia Kiswahili, wewe utajipanga na kupataa tafsiri yake, sio leo Mchina aje anaongea Kichina halafu mwenyeji unamjibu kwa kingereza, kila mtu aongee lugha yake halaafu wakalimani watatutafsiria.

Anayo mapungufu kama binadamu, lakini mazuri yake ni mengi na ya muhimu.
 
Wanasema ukiwa hujiwezi darasani au kwa lugha rahisi wanasema ukiwa mjinga, siku zote walio karibu yako watakufariji kwamba unaweza tu jitahidi, zile za "yes you can" hata kama wanaujua ukweli kwamba huna akili kabisa bado wata kufariji tu.

Haya ndio nayaona na kusikia kuhusu Magufuli kutoka kwa watu wake na wa chama chake, inawezekana wanafahamu matatizo yake lakini wanamsifia tu wakati wanafahamu hawezi na hana anachofahamu.

Uchumi gani ambao wananchi hawauoni, au mafisadi gani ambao mnawazungumzia kila siku, au mabeberu gani kawanyang'anya nini?!

Hizi sifa hazipo lakini mnampa yeye asiyejiweza au kumfariji matatizo yake.

Hongereni lakini mumwambie na ukweli mara zingine labda itamsaidia kujifunza.
 
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Eti Magufuli Foundation...mfuko utachangiwa na Nani hana heshima yoyote duniani...labda achangiwe na Bashite na Musiba maana hata Wakati huo Mfugale wa Tanroads na Kakoko wa TPA watakuwa wamekufa, au labda watakuwa jela kwa makosa ya ubadhirifu
 
Angalao ungesema 2030, 2025 nimetumbukiwa nyongo. Unahitajika muda kunyorosha nchi hii ilivurugwa sana hapa juzi kati. Mara tu kusha sahau ule msemo wa mwanamfalme!!!
Itafute wale watu 'wasiojulikana' ili wajulikane. Pia ishighulikie kutafuta watu 'waliopotea' wakiwemo akina Ben Saa Name, Azory Gwanda n.k.
 
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!

Kwani 2025 patakuwa na nini mpaka pawe na foundation? Tujuwavyo Rais Dr Magufuli ni mpaka 2035 whether you believe it or not this is the reality!! Mnafikiria ya 2025 kana kwamba katiba ya Tanzania ni Biblia/Msaafu!!!!! Acheni hizooo. Tunahisi wabunge wa vyama vya upinzani 2020 watakuwa 10 tu tena wa kutoka Zenj! 2015 walitumbukiza shillingi chooni kwa sababu ya kupenda ubinafsi(egoistic)!
 
Eti Magufuli Foundation...mfuko utachangiwa na Nani hana heshima yoyote duniani...labda achangiwe na Bashite na Musiba maana hata Wakati huo Mfugale wa Tanroads na Kakoko wa TPA watakuwa wamekufa, au labda watakuwa jela kwa makosa ya ubadhirifu
Hahaha achangiwe vipi naye ni donor contre
 
Hahaha useme kashindwa nini, wao wanasema nchi zote za Afrika wanamtaka kwa jinsi alivyoipaisha Tanzania. Wewe unaposema kashindwa inabidi useme kashindwa nini,lini wapi.
Toa maoni foundation yake ijikite kufanya nini.
Ebu tuambie Tanzania imepanda kwa lipi?
 
Iwaombe msamaha wote ambao wamefanyiwa mabaya,ijikite kurudisha pesa za walipa kodi,iwatafute wote walio wapoteza Azory,Ben8 na walio mpiga Lissu risasi
 
Kwani 2025 patakuwa na nini mpaka pawe na foundation? Tujuwavyo Rais Dr Magufuli ni mpaka 2035 whether you believe it or not this is the reality!! Mnafikiria ya 2025 kana kwamba katiba ya Tanzania ni Biblia/Msaafu!!!!! Acheni hizooo. Tunahisi wabunge wa vyama vya upinzani 2020 watakuwa 10 tu tena wa kutoka Zenj! 2015 walitumbukiza shillingi chooni kwa sababu ya kupenda ubinafsi(egoistic)!
Umekasirika nini tena?!
 
Hahaha useme kashindwa nini, wao wanasema nchi zote za Afrika wanamtaka kwa jinsi alivyoipaisha Tanzania. Wewe unaposema kashindwa inabidi useme kashindwa nini,lini wapi.
Toa maoni foundation yake ijikite kufanya nini.
kwamba wanamtaka aende akawe Rais wao, usilazimishe watu kile unachoamini wewe, hiyo foundation itakuwa ya hovyo kuliko foundation zote Tanzania
 
Hahaha mimi naandika maneno yao wao, kwamba ni Rais bora, hayo siyo maoni yangu, nilikuwa namueleza mchangiaji atoe maoni kuhusu Magufuli Foundation
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom