taratibu we mwehu.....mmezoea kuanzisha tamthilia moja baada ya nyingine kuwapoteza watu maboya.hebu tueleze hivi zile camera ulizokuwa unakazania kuzielezea za mabomu ya arusha bado zipo?muulize kaka yangu hapo pembeni ule mkanda aliosema anao bado upo au alimkabidhi mkulu alipokaribishwa gahawa pale magogoni?muwe mnakumbuka kumalizia stori moja kwanza kabla ya kuanzisha nyingine.sio wote mapoyoyo mnaotubeba na stori zenu za abunuwasi ujue!!!!Hakuna mjadala tena CCM wameshakubali kuwa chama pinzani wakiwa madarakani.Swali lilibaki ni kwamba ktk vyame vingine.CCM CUF na NCCR nani atakuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na ktk issue nyingine?
Hakuna mjadala tena CCM wameshakubali kuwa chama pinzani wakiwa madarakani.Swali lilibaki ni kwamba ktk vyame vingine.CCM CUF na NCCR nani atakuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na ktk issue nyingine?
taratibu we mwehu.....mmezoea kuanzisha tamthilia moja baada ya nyingine kuwapoteza watu maboya.hebu tueleze hivi zile camera ulizokuwa unakazania kuzielezea za mabomu ya arusha bado zipo?muulize kaka yangu hapo pembeni ule mkanda aliosema anao bado upo au alimkabidhi mkulu alipokaribishwa gahawa pale magogoni?muwe mnakumbuka kumalizia stori moja kwanza kabla ya kuanzisha nyingine.sio wote mapoyoyo mnaotubeba na stori zenu za abunuwasi ujue!!!!
sasa kama polisi wameshindwa kujikamata na nyie ndio mmeamua kuukalia huo mkanda sio?aliekufa kafa nyie mnaendelea kudunda au vipi!!!!huo mkanda ni ushahidi mkubwa sana kwa ile kesi but coz wahanga hawawahusu mmeamua kupotezea!!!!!yaani hata unavyojibu unaonekana we chapombe na ndio umetoka kupiga mnazi>haha..ulitaka nikujibu kuwa mwehu ni mzazi wako wa kike..?Sikuambia hivyo.Unaniuliza Kamera badala uwaulize polisi wameishia wapi?Wameshindwa jikamata wenyewe..?SI mlianza piga kelele kuwa sheria ingechukua mkondo wake.Sasa CDM waliwaambia tuu kuwa mkutane mahakaman wote wakasepa.
Endelea tapika kwa maswali ambayo yanawaumbua.