Baada ya 2015:Nani atakuwa Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani kati ya hawa CCM,CUF,NCCR?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Hakuna mjadala tena CCM wameshakubali kuwa chama pinzani wakiwa madarakani.Swali lilibaki ni kwamba ktk vyame vingine.CCM CUF na NCCR nani atakuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na ktk issue nyingine?
 
Hao wote ni timu moja.

CCM na CUF Wanaunda Serikali moja Zanzibar ambapo Katibu Mkuu wa Chama cha CUF ni Makamu wa Rais wa Zanzibar.
CCM na NCCR-Mwenyekiti wa NCCR ni Mwakilishi wa Mwenyekiti wa CCM Bungeni.
Unapowaweka tofauti huwatendei haki hao ni Pete na Kidole
 
Upinzani utqshikwa na nccr chadema hawatapata idadi ya wabunge wengi waliopo watahamia vyama vingine
 
CCM inaweza isipate kabisa hata uwakilishi ktk kambi rasmi ya upinzani.Itakuwa na chuki hadi za wake zake
 
Hakuna mjadala tena CCM wameshakubali kuwa chama pinzani wakiwa madarakani.Swali lilibaki ni kwamba ktk vyame vingine.CCM CUF na NCCR nani atakuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na ktk issue nyingine?
taratibu we mwehu.....mmezoea kuanzisha tamthilia moja baada ya nyingine kuwapoteza watu maboya.hebu tueleze hivi zile camera ulizokuwa unakazania kuzielezea za mabomu ya arusha bado zipo?muulize kaka yangu hapo pembeni ule mkanda aliosema anao bado upo au alimkabidhi mkulu alipokaribishwa gahawa pale magogoni?muwe mnakumbuka kumalizia stori moja kwanza kabla ya kuanzisha nyingine.sio wote mapoyoyo mnaotubeba na stori zenu za abunuwasi ujue!!!!
 
Mikakati kweli imepangwa ya kuweza kufanikiwa kuiondoa CCM madarakani au tunaishia kupiga kelele katika mitandao ya kijamii?? Binafsi nadhani na kuamini kuwa ni vema kwasasa CHADEMA wakapigania na kuhakisha kuwa TUME HURU YA UCHAGUZI inapatikana kabla ya 2015, ikipatikana Tume huru ya Uchaguzi inaweza kuwa ni kazi rahisi sana CHADEMA kushinda Uchaguzi wa Mwaka 2015 lakini kwa muundo huu waTume hii ya sasa ni kazi ngumu sana na kitu ambacho kinawezekana kwa Tume hii ya sasa ni Chadema kuongeza idadi ya Wabunge lakini kuchukua nchi sijuii nadhani tusubirie tuone.
 
Cccccccccccccccccccccccccccccccccccc mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm oyeeeeeeee, kambi ya ya upinzani ikiongozwa na nchembe jembe la ccm
 
taratibu we mwehu.....mmezoea kuanzisha tamthilia moja baada ya nyingine kuwapoteza watu maboya.hebu tueleze hivi zile camera ulizokuwa unakazania kuzielezea za mabomu ya arusha bado zipo?muulize kaka yangu hapo pembeni ule mkanda aliosema anao bado upo au alimkabidhi mkulu alipokaribishwa gahawa pale magogoni?muwe mnakumbuka kumalizia stori moja kwanza kabla ya kuanzisha nyingine.sio wote mapoyoyo mnaotubeba na stori zenu za abunuwasi ujue!!!!

haha..ulitaka nikujibu kuwa mwehu ni mzazi wako wa kike..?Sikuambia hivyo.Unaniuliza Kamera badala uwaulize polisi wameishia wapi?Wameshindwa jikamata wenyewe..?SI mlianza piga kelele kuwa sheria ingechukua mkondo wake.Sasa CDM waliwaambia tuu kuwa mkutane mahakaman wote wakasepa.

Endelea tapika kwa maswali ambayo yanawaumbua.
 
sasa kama polisi wameshindwa kujikamata na nyie ndio mmeamua kuukalia huo mkanda sio?aliekufa kafa nyie mnaendelea kudunda au vipi!!!!huo mkanda ni ushahidi mkubwa sana kwa ile kesi but coz wahanga hawawahusu mmeamua kupotezea!!!!!yaani hata unavyojibu unaonekana we chapombe na ndio umetoka kupiga mnazi>
 
Dr. Asha Rose Migiro

OOooooooooops hivi WABUNGE wa VITI MAALUMU hawatakuwepo tena.

Maana huu Bibiye hajayawi kuchaguliwa na WANANCHI hata kuwa MJUMBE WA NYUMBA KUMI.
 
CCM itakuwa inawaongoza akina Cuf na Nccr alafu T.L mwanasheria mkuu wa serikali wee!

Mungu tujalie ila usiwaangamize ili washuhudie u-MUNGU wako
 
Nadhani CUF watachukua tena wakifuatiwa na NCCR, hawa WALAGHAI akina MUGHWAI watatafuta kwa kwenda...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom