Baada tu ya Honeymoon anamkuta mume na mwanamke mwingine

Baada tu ya Honeymoon anamkuta mume na mwanamke mwingine

Ni weli ilitokea na msichana alichanganyikiwa sana, fikiria hii ilikua hata mwezi mmoja baada ya harusi bado. Kuna madeni familia iliingia ili kugharamia harusi ya binti.
 
hua nasikia na sina uhakika kua wanaopumuliwa hua hawAna nguvu za k
iume sasa muulze huyo binti kuhusu utendaji wa mume wake huyo halafu ulete feedback hapa ili niamini kua hii story umeitunga
tu
 
Huyo mwanaume siyo wa Dar kweli? Malizia hadithi yako.
 
Niliwahi kuona movie ya hivi lakin ni Nigerian movie same scinario
 
Astaghfirullah, mume anakunjuliwa malinda!!! Huu ufirauni wa kutoa "Jalala" unazidi kulitafuna Taifa, Mweh!
 
Dini yake inaruhusu haya mambo ndo anayapenda Ishmael
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom