Baa la njaa na ukame: KKKT waonya "upungufu" wa chakula nchini

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,927
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu ,mwenye sikio na asikie na akitaka kujibu ajibu kwa busara,hawa ni watu wanaoongoza mambo ya kiimani,kila siku za ibada hawahitaji kuita watu kwa matangazo kama wanasiasa,bali waumini huenda wenyewe.

Sasa ni dhahiri,
IMG-20170116-WA0018.jpg
 
Attachments

  • IMG-20170116-WA0018.jpg
    IMG-20170116-WA0018.jpg
    82.1 KB · Views: 34
Heri watumishi wa Mungu waseme ukweli wa haki yao!! Utasaidia sisi kondoo.......wenye shida kila siku ambao sasa tunadharauliwa sanaaa
 
Heri watumishi wa Mungu waseme ukweli wa haki yao!! Utasaidia sisi kondoo.......wenye shida kila siku ambao sasa tunadharauliwa sanaaa
Hakika,inawezekana mtu huyu akahisi kusalitiwa akaacha kuhutubia makanisani.

Ile hoja anayoinukuu ya kibiblia "asiyefanya kazi na asile" imepata watafsiri walioisomea

Watu wamefanya kazi mvua haikunyesha,mazao yamekauka,lakini bado unawaambia wafanye kazi,meaning walime kwenye ardhi kame, wapande mbegu kwenye ardhi kame(juu ya mwamba)
 
Kuna haja ya mjadala wa kitaifa juu ya mwenendo wa huyu Rahisi wetu! Nchi yetu sote asije akavuruga vuruga sababu tu anafanya atakavyo wakati urahisi ni taasisi ina washauri wengi tu na wazuri kuweka mambo sawa na nchi ikaenda vizuri sana na uchumi ukarejea ulipokuwa !! Akiona vipi aondoke amuachie Mama atamudu tu maana najua Mama atashaurika sana na ataweka mambo vizuri sana na atatuvusha!! Urahisi sio miguvu sana ni busara busara busara........
Hakika,inawezekana mtu huyu akahisi kusalitiwa akaacha kuhutubia makanisani.

Ile hoja anayoinukuu ya kibiblia "asiyefanya kazi na asile" imepata watafsiri walioisomea

Watu wamefanya kazi mvua haikunyesha,mazao yamekauka,lakini bado unawaambia wafanye kazi,meaning walime kwenye ardhi kame, wapande mbegu kwenye ardhi kame(juu ya mwamba)
 
Hawa viongozi wa dini wametumwa na wanasiasa na wafanyabiashara...
 
Ungeweka content ya maelezo ya mtumishi ungetenda haki zaidi maana unataka tutoe maoni kwa heading.
Pia sauti ya wengi sio wala hajawahi kuwa ya Mungu mkuu Labda kama unamaanisha miungu. Ndio maana Nuhu na Familia yake walipona hao wengi wakaangamia na sauti zao.
 
Back
Top Bottom