Ba Bye Bachelor's Life

Huu nao ni uoga tu na labda niseme ni ubinafsi wa mwanadamu....

Furaha ni jambo ambalo halijulikani kwa wengi kabisa na huenda waliowahi kuionja furaha ni wachache sana.hayo unayoyataja kuwa ni msingi wa furaha unayoifikiria siyo kweli kabisa....

Furaha ya binadamu ina msingi mmoja tu,kujitoa kwaajili ya wengine na suala la ndoa ni mojawapo wa jambo lilaloleta furaha kwasababu misingi ya ndoa ni kujitoa kwaajili ya mwingine,unachosema wewe ni uoga na ubinafsi ambao unakuletea hisia ambazo wewe unaziita furaha wakati sivyo.....

Utamu wa maisha una mambo ambayo wengi hatuyataki na kuyapenda kwasababu yanaonekana yana changamoto kuyafanya,kama hilo na kufikiria kuhusu "sisi" na siyo "mimi"...
Kwenye psychology tumesoma giving out to other people is part of healthy life.
 
Being selfish can make you a misery.
Ni kweli lakini ukweli huu ni mgumu sana kwa wengi kwasababu binadamu ana ubinafsi ambao kuachana nao inabidi afanye kazi kubwa....

Lakini niseme tu kwamba furaha ni tamu sana yaani sina hata namna ya kuielezea.....

Furaha ambayo msingi wake hni huo niliousema hapo juu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom