Ba Bye Bachelor's Life

Utanipora uhuru wangu na mbaya zaidi na pesa zangu.

Mechi za mchangani hapo poa.

Bado kuna watoto wengi wa cbe wanahitaji huduma yangu
nikupore helazako kwani mimi sina hela zangu. kuhusu uhuru mimi wala huwa sichungi mtu hata ukitaka kulala kwa mchepuko bora tu uniage mapema mimi muelewa sana mkuu
 
Utanipora uhuru wangu na mbaya zaidi na pesa zangu.

Mechi za mchangani hapo poa.

Bado kuna watoto wengi wa cbe wanahitaji huduma yangu
Kumbe na wewe ni muumini wa CBE ninasikia vile vitoto ni vijambazi vinajua kukaba ndoa za watu.
 
Kumbe na wewe ni muumini wa CBE ninasikia vile vitoto ni vijambazi vinajua kukaba ndoa za watu.

Hahaaa vitoto viteke yani. Duuuuh ila wazazi wao wana tabu. Basi vinadhani kila anayetokea pale ni mbunge. Ni kupanga msururu tu

Sioi leo..bado bado kidogo aisee
 
Habari za Maisha Waungwana!!?

Kuna umri ukifika unakua na msukumo flani as kijana kua unataka kupiga hatua hii na ile katika maisha na wakati mwingine mambo yanapo kua hayaendi sawa unavunjika moyo sana.

Niseme jambo muhimu, kijana yeyote anaejitambua mission iliyo kuu ni moja tu! kuja kua na family productive yenye success lakini mzizi wa yote haya uanzia pale tunapochagua who !s best person to marry?, hakika ukikosea umejichimbia shimo, iwe ME au KE.

Aisee sio wote wanafikia maamuzi haya sababu vipo vingi vinakera na kufurahisha ndani yake

Mfano wengi ukosea kuoa wengine uolea tamaa au mali wengine bora wawe na familia wengine kwa shinikizo la wazazi.

Ila kuna wale waungwana ambao hupatia katika perfect timing, perfect couple na perfect decision mbona mambo ua matamu mnoo sababu watu hutamani sana siku ifike watu wachukue jiko waanze maisha mapya.

Binafsi hii ni hatua muhimu sana maana ubachelor mtamu sana lakini ndoa ni tamu zaidi hasa ukimpata muolewaji na muoajii kweli, nasikia wanasema mengi kuhusu ndoa ila ninaamini kitu chochote uwa kulingana na unavyokichukulia.

Tarehe 22 April nachukua jiko rasmi nauaga ubachelor na naingia kwenye Ubaba na Umme, niwasii ndugu zangu wote hasa upcoming ones kua kila kitu ni maamuzi but maamuzi yawe sahihi sana.

Kwaherini mabachelor wenzangu... Msisahau kua hicho ni kipindi cha mpito hakidumu., lets go for Respect n honor.
Thanks kwa ujumbe wako wenye kutia hamasa na faraja na Pia hongera sana kwa hatua unayoifata. Bye bye bachelor mwezangu ila ntakuwa njiani kukufata kwenye klabu mpya unayojisajili.
 
Bachelor life is one of the happiest life ya mwanaume yoyote ni muda ambao hupangiw mambo meng sana ya kufanya akili yako ndio inaamua kesho yako ikoje
Once umeaamua kuingia kwenye marriage life there is no way ukarud nyuma kwenye bachelor life
The life is all about us and not about you anymore
As long as umeamua kuingia huko all the best mkuu
Ahsante kaka
 
all the best rafiki,

ndoa ni kama udongo wa ufinyanzi,

una ufinyanga utakavyo,

i think if you marry your best friend,you will be happy for the rest of your life,

Communiation is a key,

umpate mtu anayekuelewa,sasa hivi umekasirika,sasa hivi uko happy,

uwe na confidence ya kuwasiliana na mkeo,na yeye awe na confidence ya kuwasiliana na mumewe,namaanisha sio mtu anakosea hafu unaogopa kumwambia kisa uta jeorpadise your marriage,then utakua mtu asie na furaha,na ndoa utaona kifungo,
 
Siyo kila mtu anakuwa na "mission" hiyo uliyoitaja hapo juu kwaksababu kuna watu wana malengo na mitazamo tofauti sana na unayofikiria wewe na ndoa siyo ishu ya muhimu kihivyo kabisa....

Hakuna kitu kibaya kama kuingia ndoani kwa shinikizo kutoka nje yako na siyo ndani yako,mzazi yoyote anayemlazimisha mwanae aingie ndoani atakuwa either hajui ndoa ni nini au zaidi sana hajui kabisa kuwa mwanae siyo yeye hivyo anaweza kuwa na vipaumbele tofauti na afikiriavyo yeye hivyo kumlazimisha afanye kitu ambacho siyo kipaumbele chake ni makosa makubwa kabisa...

Nijuavyo mimi hakuna perfect isipokuwa kuna mtu sahihi kwako atakayejaza matundu yako wewe kama binadamu,kujaza huku ni ile hali ya kukukubali wewe kama ulivyo bila masharti yoyote yale.Nano perfect halijakaa vizuri kwasababu linalenga kuonesha kisichokuwa na mapungufu wakati binadamu tuna mapungufu [matobo] mengi sana...

Unapoanza kufikiria kuhusu huo u-perfect ndipo yale matatizo ya kudhani ndoa ni kutendewa tu na ndoa ni paradiso yanapoanzia....

Ndoa ni tamu kwa muktadha upi? Kama unadhani ndoa ni mahusiano yasiyokuwa na maudhi au kukoseana na changamoto nzito kabisa pengine kwa kiwango ambacho hujawahi kufikiria nakushauri subiri kwanza usiingie huko sasa na nadhani mtazamo ghuu ndiyo unakufanya ufikirie kuhusu huo unaouita utamu...

Ndoa ni ukamilisho wa binadamu ambapo anakutana na binadamu mwenzake ambaye wataishi kwa kuvumiliana mambo mengi sana na siyo jambo la lelemama hadi kuanza kufikiria sijui utamu,vijana kabla hatujaingia ndoani tunapaswa tujue tafsiri sahihi ya ndoa na ndoa ni nini ili kuondoa matatizo yanayoepukika mbeleni....

jitahidi kujifunza zaidi kuliko kutaka kufundisha na hili litakusaidia kwenye maisha yako ya ndoa...

Kila la kheri....
Mchanganuo mzuri sana ila jiulize kwanini tunasemaga huyu ni sahihi na yule sie..?
 
The best part of marriage life is when all the kids are grown up and have left the nest, it's all about you and your wife again.

Very true, you are getting back to young life again no more life stress living life to the fullest
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom