Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,031
- 40,064
Nomabila min. huitwi na wata re-advertise hata mara 50
Nomabila min. huitwi na wata re-advertise hata mara 50
Duh hatariNarudia Kama hauna B+ HUWEZI ITWA HATA INTERVIEW YA WRITTEN
Mkuu, inawezekana sikupingi.Kwani, unavyoenda kuomba kazi,huwa unaomba kuwa mwl general au specific?
Ndugu vyuo Ni specific na ktk specific lazima SoMo husika upate B+