B Plain sio kikwazo cha kuwa Tutorial Assistant?

Dogo12

Member
Oct 5, 2022
45
140
Habari za muda huu,

Nilikua nauliza je kwa mfano umepata GPA zaidi ya 3.8 bachelor degree ila kuna baadhi ya kozi core umepata B plain unaeza omba nafasi ya tutorial assistant na ukawa shortlisted kuitwa kwenye interview
 
Una kigezo muhimu, omba hiyo nafasi na kutegemea ushindani utakao kuwepo unaweza ukala bingo.
 
Habari za muda huu,

Nilikua nauliza je kwa mfano umepata GPA zaidi ya 3.8 bachelor degree ila kuna baadhi ya kozi core umepata B plain unaeza omba nafasi ya tutorial assistant na ukawa shortlisted kuitwa kwenye interview
Yes it's possible
 
GPA NI 3.8 VYUO VINGI LAKINI KUNA VYUO WANAANZIA 3.5,

KIKUBWA ZAIDI SOMI UNALOOMBA KUFUNDISHA LAZIMA UWE UMEAFULU KWENYE CHETI CHAKO KWA ALAMA YA B+
HOPEFULLY NIMEKUJIBU! HAVE A TRIAL
 
GPA safi! pia hizo ni pre qualifications za kuwa shortlisted wataangaliqla GPA kama mpo wengi ...usiwaze fanya kuomba.
 
Inategemeana na kozi na vigezo husika. Maana kuna kozi zingine hawaangalii somo moja tu kuwa umepata B+ au tofauti.
 
Kwani, unavyoenda kuomba kazi,huwa unaomba kuwa mwl general au specific?

Ndugu vyuo Ni specific na ktk specific lazima SoMo husika upate B+
 
Shukrani kiongozi kwa mfano umeomba general ya kozi nzima mfano tutorial assistant in law umepata gpa yako ya 4.1 ila kuna baadhi ya kozi za law ulipata B plain kama mbili tatu hii imekaaje mkuu utakua shortlisted
 
Kigezo si 3.8+ pekee kama matangazo yanavyoonyeshaga?
Habari za muda huu,

Nilikua nauliza je kwa mfano umepata GPA zaidi ya 3.8 bachelor degree ila kuna baadhi ya kozi core umepata B plain unaeza omba nafasi ya tutorial assistant na ukawa shortlisted kuitwa kwenye interview
Unaitwa vizuri kabisa bila longolongo. Sifa ni atleast uwe na G.P.A ya 3.8 out of 5
 
Back
Top Bottom