B. Mkapa anamiliki mashamba ya miwa ya Mtibwa, na ndiye Swahiba wa Rais Magufuli

Kuna mambo mengi sana hapo, sabortage inafanyika kiwanda kiwe underproduction watu waweze kufanya buy&sell from nje kwa sababu hiyo ni rahisi zaidi kuliko kuanza kuzalisha mpaka uje upate finished product.

So ktk hili naamini wapo vigogo ndani ya serikali akiwemo malofa
Why only subortage Mtibwa? Last year i was in Moshi and visited a friend at TPC, wako vizuri sana! Mpaka umeme wanazalisha wenyewe.
 
Why only subortage Mtibwa? Last year i was in Moshi and visited a friend at TPC, wako vizuri sana! Mpaka umeme wanazalisha wenyewe.
Kama mahitaji ya nchi ni tani 400,000+ na uzalishaji wa viwanda ni tani 300,000 wakiibonyeza Mtibwa tu uzalishaji unakuwa umepungua tena so wao wanapata advantage ktk kuagiza mauchafu yao ya Brazil.
Suala hapa wanalotaka ni kufanya biashara ya kununua na kuuza tu mambo ya kuzalisha wanakwepa cost zote hizo.

TPC wako vizuri sana tatizo ni hili linchi limekuwa corrupt kila mahali. Hawa walishataka kuwauzia Tanesco umeme lkn Tanesco wakakataa.
This's Tanzania
 
hahaha lema unatukatisha tamaa wapga kura wako, kumbuka hapa A-town kilo moja ya sukari ni tsh.4500 hv huko bungeni dodoma tumepeleka mbunge kwl?
Lema yeye sio afisa biashara,hana mamlaka juu ya wenyenavyo na kama bei yasukari inapunguza hadhi ya mbunge vp waziri husika?
 
kuongoza nch inahtaj akili nying, weledi, utash, busara, hekma, washaur wazur, wataalam ktk njanja zote, utash wa kiisiasa, hof ya mungu, kiwango kikubwa na cha juu cha fikra huru kwa viongoz na wananch( n matokeo ya elim bora sio elim siasa). 2NASAFAR NDEF SANA WATANZANIA
 
Umefika nchini lini toka ulaya au kuzimu? Kama ni Mtanzania kindakindaki huwezi kushindwa kujua habari ya mjini ni uhaba wa sukari ikiwa ni matokeo ya watu kuficha sukari.
nataka kujua ni nani kaficha? mbona umtaji uyo alieficha?
 
Lema aliishia wapi na staili yake ya maandamano Arusha? atakuwa ameacha bangi
Hahaha, tehtehteh! Aliishia kukamata jiji na kuifuta kabisa ccm Arusha. Hivi Arusha mjini mna madiwani wangapi vile? Pumbaf sana! Think before you write!
 
Kweli wewe naye kituko. Lini ulisikia ngano imeadimika Tanzania? Mafuta ya kupikia ya viwandani yakipungua watu wanatumia nazi, karanga nk. Sukari ndiyo ilikuwa hadimu inatafutwa na wananchi halafu kuna mtu anayo nyingi na haitoi kwa makusudi au anaitoa kidogo kidogo mno.
Hapa cha kufikilisha ni kwanini Mh Mbunge anashindwa kutambua kuwa bidhaa aina ya sukari ni adimu na ndio maana ilizuiwa na kuacha ngano na mafuta.
Kwani we sukari unaitumia kwenye nini? Usipo kipata hicho kinachohitaji sukari unapata madhara gani? Pia,unataka kutuaminisha sukari haina mbadala?
 
Kweli wewe naye kituko. Lini ulisikia ngano imeadimika Tanzania? Mafuta ya kupikia ya viwandani yakipungua watu wanatumia nazi, karanga nk. Sukari ndiyo ilikuwa hadimu inatafutwa na wananchi halafu kuna mtu anayo nyingi na haitoi kwa makusudi au anaitoa kidogo kidogo mno.
Hapa cha kufikilisha ni kwanini Mh Mbunge anashindwa kutambua kuwa bidhaa aina ya sukari ni adimu na ndio maana ilizuiwa na kuacha ngano na mafuta.
Huyo mbunge amekurupuka
 
Lema aache kutudanganya asubuhi anakunywa viroba hanywi chai sukari kwake sio ishu
 
Ninachokumbuka ilitamkwa kwamba "kuna watu wanahujumu serikali wamenunua kutoka viwandani na kuficha. Mmoja kanunua Kilombero na hataki kuichukua, mwingine kaficha kwenye magodown mbagala"

Ikasemwa "sukari sio sindano kwamba utaificha isionekane"!!!

Ni sukari kiasi gani kutoka viwanda vya ndani ilikuwa imefichwa na imekamatwa mpaka sasa??
Je kuna sukari serikali imegawa bure baada ya kukamatwa???

Sukari iliyokamatwa na kisha mamlaka za serikali kusema imeingizwa kihalali nchini, imekuwepo kwa muda gani ili kupata hadhi kuwa imefichwa ? Taarifa ya wahusika inasema wameipokea si zaidi ya wiki moja kufikia tarehe ya kukamatwa!!!

Mwenye majibu anisaidie tafadhali
 
"Katika ziara za kushtukiza pamoja na kukuta sukari tani kadhaa zimehifadhiwa, pia waliona mafuta ya kupikia kontena kadhaa, ngano tani kadhaa na Vingine vingi katika ujazo wa tani. Katika vyote hivyo sukari Pekee ndiyo ilionekana kufichwa ila bidhaa nyingine zimehifadhiwa"

Kuna tofauti kati ya kuhifadhi na kuhodhi bidhaa. Kuhodhi bidhaa ni kuficha au kutoa kwenye soko kwa malengo mbalimbali yakiwamo kusababisha "artificial scarcity" wa bidhaa husika na kufanya mahitaji kuwa makubwa zaidi ya bidhaa iliyoko sokoni kwahiyo bei hupanda na mwenye bidhaa hodhi hupata faida kubwa zaidi. Lengo la pili ni la kisiasa kufanya watumiaji wa bidhaa iliyopanda bei waichukue serikali iliyo madarajani. Kuhifadhi bidhaa ni kuiweka salama na rahisi kupatikana kwenye soko huru. Kwenye hoja hii ni sawa na kusema "kwenye msafara wa manba na kenge wamo" kwanu sukari ni kenge mwenye malengo mawili; kupata faida zaidi na kuichonganisha serikali iliyoko madarakani ionekane haitimizi ahadi zake. Bidhaa zingine zilizotajwa zimehifadhiwa kwa sababu vipo sokoni na bei zake zinaongozwa na walaji
Je upungufu wa sukari wa sasa ni wania ya kupata faida zaidi au ni wakisiasa said I?


Godbless Lema

Chanzo :East Africa radio

Toa maoni yako.
 
Back
Top Bottom