evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,330
uswahiba watamwalibia................hivi ataweza kuwatumbua huyu kweli
MhBangi zinamsumbua, ni lini amesikia hivyo vingine vimeadimika sokoni?
Kuna mambo mengi sana hapo, sabortage inafanyika kiwanda kiwe underproduction watu waweze kufanya buy&sell from nje kwa sababu hiyo ni rahisi zaidi kuliko kuanza kuzalisha mpaka uje upate finished product.Nilikuwa huko Mtibwa recently hicho Kiwanda mbona kina hali mbaya sana?? Naweza Sema kinachechemea..
Dhambi kubwa ni kumuogopa Uncle magu utadhani kama yeye ni mfalme.....unamuogopa vipi mtu aliye chini ya katiba ya nchi...tehtehteh na watu wa uingereza wataishi vp sasa."Katika ziara za kushtukiza pamoja na kukuta
sukari tani kadhaa zimehifadhiwa,
pia
waliona mafuta ya kupikia
kontena kadhaa, ngano tani
kadhaa na Vingine vingi katika
ujazo wa tani. Katika vyote
hivyo sukari Pekee ndiyo
ilionekana kufichwa ila bidhaa
nyingine zimehifadhiwa"
:Godbless Lema
Chanzo :East Africa radio
Toa maoni yako.
Lema aliishia wapi na staili yake ya maandamano Arusha? atakuwa ameacha bangiBangi zinamsumbua, ni lini amesikia hivyo vingine vimeadimika sokoni?
huwaga shamba lake ni la mwisho kuvunwa na kiwanda, halafu bado wanakijiji wanalalamika.Naamini wahusika wataliona hili kwenye Uzi huu
kweli wewe ni mbumbumbu umesikia ni nani kaficha sukari? mbona walizosema zimefichwa awagawi bure? acha kufikiria kwa kutumia visigino.Kweli wewe naye kituko. Lini ulisikia ngano imeadimika Tanzania? Mafuta ya kupikia ya viwandani yakipungua watu wanatumia nazi, karanga nk. Sukari ndiyo ilikuwa hadimu inatafutwa na wananchi halafu kuna mtu anayo nyingi na haitoi kwa makusudi au anaitoa kidogo kidogo mno.
Hapa cha kufikilisha ni kwanini Mh Mbunge anashindwa kutambua kuwa bidhaa aina ya sukari ni adimu na ndio maana ilizuiwa na kuacha ngano na mafuta.
Hii ndio aina gani ya kufukiria tena? Au ndiyo uliyoitumia kiasi cha kushindwa kujua kama sukari iliadimika madukani lakini kwenye magodauni imejaa na kitendo hiki ni kuficha.kweli wewe ni mbumbumbu umesikia ni nani kaficha sukari? mbona walizosema zimefichwa awagawi bure? acha kufikiria kwa kutumia visigino.
nani kaficha sukari?Hii ndio aina gani ya kufukiria tena? Au ndiyo uliyoitumia kiasi cha kushindwa kujua kama sukari iliadimika madukani lakini kwenye magodauni imejaa na kitendo hiki ni kuficha.
Hivi kichwa chako bado kinakuruhusu kuendelea kujifunza? Au ndio unahisi unajua kila kitu. Kama ndiyo hatujisumbui kukupa maarifa.