B-2 Spirit: Ndege ghali zaidi ya mashambulizi ya kijeshi duniani

Iliwahi kupigana wapi hio ndege?
Tokea israhell ashindwe kukomboa watu wake waliotekwa kwamuda wa miezi minne hata unambie nini kuhusiana na silaga na Intelijensia ya hao wapuuzi siwezi nikaamini mpaka iwepo field
Wamagharibi waongo sana na wala sio wakuawaamini hata dakika
Kambi ilioshambuliwa Jordan unaambiwa ina mifumo ya ulinzi ya kila namna ila wahuni wamepenya
Mwisho hizo propaganda tu wala si waamini
Niliwahi kuona Smithsonian Channel Ilifanya operation kadhaa vita ya pili ya Marekani na Iraq. Ilikuwa inatoka moja kwa moja Marekani kwenda kushambulia inarudi
 
Hii ndege moja bei yake kwa sasa ni dolla za kimarekani billion 2 na ushee! Kwa bajeti ya sasa ya bongo tukinunua 20 tu tunafilisika kabisa. Ilianza kutengenezwa tangu mwaka 1987 na kampuni binafsi ya Northrop Grumman ya Marekani.

Ilitengenezwa mahususi na US kuepuka kuonekana katika rada za USSR wakati wa vita baridi na lengo lake kuu katika kuboreshwa limeendelea kuwa hilo hilo la kuweza kupenya anga ya adui yoyote duniani bila kuonekana katika rada.

Sifa zake ni pamoja
1. Kutoonekana katika rada na pia mifumo ya kuzuia makombora(Stealth).

2. Kubeba silaha za makombora ya nuclear na yasiyo ya nuclear ya kiwango kikubwa.

3. Kwenda umbali wa kuizunguka dunia inahitaji kuongezwa mafuta mara moja tu katikati ya safari.

Inaongozwa na marubani wawili.

Ni mojawapo ya ndege ambazo adui na wapinzani wa Marekani wanazitazama kwa jicho la ziada na tahadhari kubwa.
Na yule mpuuzi mwenzao wa Marekani ana uwezo lukuki wa kutengeneza masilaha mazito kuliko huyo shorwe

Dunia inapaswa kuepukana na vita
 
Hii ndege moja bei yake kwa sasa ni dolla za kimarekani billion 2 na ushee! Kwa bajeti ya sasa ya bongo tukinunua 20 tu tunafilisika kabisa. Ilianza kutengenezwa tangu mwaka 1987 na kampuni binafsi ya Northrop Grumman ya Marekani.

Ilitengenezwa mahususi na US kuepuka kuonekana katika rada za USSR wakati wa vita baridi na lengo lake kuu katika kuboreshwa limeendelea kuwa hilo hilo la kuweza kupenya anga ya adui yoyote duniani bila kuonekana katika rada.

Sifa zake ni pamoja

1. Kutoonekana katika rada na pia mifumo ya kuzuia makombora(Stealth).

2. Kubeba silaha za makombora ya nuclear na yasiyo ya nuclear ya kiwango kikubwa.

3. Kwenda umbali wa kuizunguka dunia inahitaji kuongezwa mafuta mara moja tu katikati ya safari.

Inaongozwa na marubani wawili.

Ni mojawapo ya ndege ambazo adui na wapinzani wa Marekani wanazitazama kwa jicho la ziada na tahadhari kubwa.
Acha uwongo wewe eti haiyonekani uliza ilishushwaje kule Kosovo
Screenshot_20240201-105559.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndege moja bei yake kwa sasa ni dolla za kimarekani billion 2 na ushee! Kwa bajeti ya sasa ya bongo tukinunua 20 tu tunafilisika kabisa. Ilianza kutengenezwa tangu mwaka 1987 na kampuni binafsi ya Northrop Grumman ya Marekani.

Ilitengenezwa mahususi na US kuepuka kuonekana katika rada za USSR wakati wa vita baridi na lengo lake kuu katika kuboreshwa limeendelea kuwa hilo hilo la kuweza kupenya anga ya adui yoyote duniani bila kuonekana katika rada.

Sifa zake ni pamoja

1. Kutoonekana katika rada na pia mifumo ya kuzuia makombora(Stealth).

2. Kubeba silaha za makombora ya nuclear na yasiyo ya nuclear ya kiwango kikubwa.

3. Kwenda umbali wa kuizunguka dunia inahitaji kuongezwa mafuta mara moja tu katikati ya safari.

Inaongozwa na marubani wawili.

Ni mojawapo ya ndege ambazo adui na wapinzani wa Marekani wanazitazama kwa jicho la ziada na tahadhari kubwa.
Bado TU-160 inabakia Bomber yenye nguvu sana, kumbuka inaweza fanya mashambulizi pande zozote za Dunia ikiwa ndani ya anga la Urusi
 
Sina hoja ndugu.
Mimi Sina ujuzi wowote juu ya masuala ya ndege,so siwezi kichangia chochote.ila naipongeza USA kwa technology hiyo.
 
Back
Top Bottom