Je anatetea muundo wa serikali ngapi?Ahsante Zungu, unaionesha Tanzania kwanini Wilaya ya Ilala ndiyo wilaya tajiri Tanzania na haina shamba wala madini. Vichwa.
We are proud of you. Ukigombea tena Ubunge tunakupa bila kupingwa. Kudos.
unaionesha Tanzania kwanini Wilaya ya Ilala ndiyo wilaya tajiri Tanzania na haina shamba wala madini.
Mwenyekiti wa kikao cha bunge kinachoendelea saa hii, Azzan Zungu, (nna-declare interest) ni mbunge wa jimbo langu la Ilala.
Hivi sasa anamwaga darsa kwa kila anaechukuwa shillingi ya waziri, nimeona mpaka sasa wabunge wa upinzani kama watatu wa upinzani kila wanapochukuwa shillingi na kuing'ang'ania yeye anatoa darsa la maana na wanamuelewa na darsa linawaingia mpaka wanarudisha shillingi wenyewe bila makeke, na hili nimelishuhudia toka jana si leo pekee.
Huyu ndiye alifaa kuwa Speaker wa bunge, anakubalika kote kote.
Ahsante Zungu, unaionesha Tanzania kwanini Wilaya ya Ilala ndiyo wilaya tajiri Tanzania na haina shamba wala madini. Vichwa.
We are proud of you. Ukigombea tena Ubunge tunakupa bila kupingwa. Kudos.
Je anatetea muundo wa serikali ngapi?
Je unajua kuwa Ilala ndio wilaya inyoongoza nchini kwa kuwa na idadi kubwa ya mafisadi?
Je unajua kuwa wilaya ya Ilala ndio makao makuu ya wauza unga?
Je unajua kuwa wilaya ya Ilala...kwa sasa ngoja niishie hapa.
Kwa upande wa uwezo wa kuongoza bunge, hata mimi naunga mkono. Zungu yuko vizuri kuliko wale wapuuzi wengine.
Ila kwa hilo analofanya bungeni saa hizi, hapo kidogo kuna tatizo. Hiyo kimsingi siyo kazi yake. Ni kazi ya waziri mwenye dhamana yake. Yeye kwa pale alipo, kama mwongoza kikao hatakiwi kuingilia mjadala au kutoa maoni, anapaswa kusimamia kanuni na taratibu za bunge tu ili mjadala uende sawia.
Kwa upande mwingine kama mbunge, ni kazi yake kuihoji serikali kuhusu utekelezaji wa maazimio yake kwa mwaka wa bajeti uliopita. Na siyo kazi yake kuitetea, au kuisaidia serikali kwa kuitolea ufafanuzi au Darsa kama mwenyewe unavyoita.
Summarily anachofanya, pamoja na kuwa kinawezakuwa kinasaidia , lakini siyo sawa kwani ni nje ya majukumu yake. Hivyo anaingilia majukumu ya serikali.
Ametumwa kulinda serikali na anaijibia serikali kinyume na katiba
Zungu jumbo lake ndilo linaongoza kwa uchafu name Barbara mbovu. Nenda pale round pale shule ya Uhuru karibu na akiba. Mtaa alipokuwa anakaa yeye aggrei ndio unaongoza kwa Maji machafu.
Je anatetea muundo wa serikali ngapi?
Je unajua kuwa Ilala ndio wilaya inyoongoza nchini kwa kuwa na idadi kubwa ya mafisadi?
Je unajua kuwa wilaya ya Ilala ndio makao makuu ya wauza unga?
Je unajua kuwa wilaya ya Ilala...kwa sasa ngoja niishie hapa.
Tunahitaji BUNGE huru na lenye nguvu.Hakutakiwa kuitetea serikali bali kuiwajibisha serikali,hiyo ndiyo kazi yake kubwa.Kwa sasa inaonekana wazi kwa sasa Tanzania hatuhitaji Mawaziri Wabunge.