Azimio la Arusha liko wapi jamani? walaaniwe walioliua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Azimio la Arusha liko wapi jamani? walaaniwe walioliua!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MNYISANZU, Feb 2, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakuna kipindi kama hiki ktk historia ya Tanzania ambapo "AZIMIO LA ARUSHA" lilikuwa linahitajika sana!. Kwa sasa Azimio la Arusha lilikuwa linahitajika katika kutumika kama mwarobaini wa kudhibiti ufisadi uliotamalaki kila mahali [ rejea nyongeza ya posho za wabunge, mishahara na posho wanazolipana maofisa wa ngazi za juu BOT, TRA,NSSF na mashirika/taasisi zingine za umma]. Kushuka kwa uwajibikaji miongoni mwa viongozi na watumishi wa ngazi za juu, kupuuzwa kwa professions zingine kama madaktari,walimu,polisi,etc ni kielelezo kingine kinachoonyesha kuwa Azimio la Arusha lilkuwa bado relevant na linahitajika. Kila siku huwa najiuliza ni akina nani haswa walioliuwa hili Azimio? na kwanini hawakulifanyia marekebisho tu pale panapohitajika kufanya hivyo? . Mwisho kabisa walaaniwe wale wote ambao kwa namna moja au nyingine walishiriki kuliua hili Azimio.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huoni kama lile Azimio ndio lililopelekea watu wa nchi hii wakafikia hapa tulipo?
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hilo ndio lililoimaliza kabisa Tanganyika kiuchumi.
   
 4. W

  WildCard JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Azimio hili lilkuwa limecontain rules mbalimbali ambazo zilikuwa ni mwiba kwa mafisadi na ufisadi. Kama lilikuwa na weakness zake kwa nini hawakulifanyia ammendments tu ili liendane na wakati na mazingira
  na badala yake wakaliua? Mbona hao ni mabingwa wa kuitia viraka katiba?
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Poor mind always focus on negativity only! Ina maana haukuona wala hauoni umuhimu wa hili azimio?
   
Loading...