Azim Dewji: Lissu amuombe radhi Biteko; Matamshi wanayotoa wapinzani hayapaswi kuumiza watu wengine

Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023

"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji

Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele

Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
Huyu mzee anaendekezwa sana na vikauli vyake vya kipuuzi puuzi.
 
..napenda kuamini kwamba Polisi waliamini maandamano ni SALAMA ndio maana wakampitisha NWM na msafara wake katikati ya waandamanaji.
Yes,
Hicho ndicho 🐒

Na kwakweli hapakua na tashwishwi yoyote kwa waandamanaji wangwana kukaa kando kidogo na magari, si tu ya waziri Mkuu hata mengine binafs kupita na wao wakaendelea na shughuli yao 🐒

uchochezi wa viongozi wababe na wasio na staha ndio huwa shida 🐒
 
Nilichokielewa kikubwa kabisa ni...

Kama mh Tundu lisu siku awe kiongozi, angependa kuitwa majina ya hovyo kama anavyowaita viongozi wengine, Je angependa tumdharau kama anavyoonyesha kuwadharau viongozi wengine?

Dewj kaongea point
Mwacheni Lissu mahakama zipo wazi
 
Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023

"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji

Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele

Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
Sijui kama anajua anazungumza nini huyu..

Sijui hata kama anajua kuwa anayemshambulia ni mwanasheria mbobevu anayejua taratibu na sheria..

Mimi nafikiri huyo mtu anayeitwa Doto Biteko na chawa wake ndio wanaopaswa kuomba msamaha maelfu ya waandamanaji kwa kutaka kuwagonga kwa magari yake zaidi ya 50 aliyokuwa anatembea nayo kuteketeza kodi zetu huku nchi ikiwa haina umeme na yeye akiwa waziri mwenye dhamana ya sekta hiyo.!
 
Nilichokielewa kikubwa kabisa ni...

Kama mh Tundu lisu siku awe kiongozi, angependa kuitwa majina ya hovyo kama anavyowaita viongozi wengine, Je angependa tumdharau kama anavyoonyesha kuwadharau viongozi wengine?

Dewj kaongea point

Lisu ana sifa moja ya kipekee isiyobishaniwa, nayo ni kuwa mkweli wa nafsi yake kwa yale anayoamini ndiyo ukweli. Huwezi kumhonga aubadilishe uwongo kuwa ukweli.

Kwenye hili la Biteko, Lisu yupo sahihi, na Biteko au Polisi wanatakiwa kuwaomba msamaha waandamanaji kutaka kuharibu maandamano yao.

Sheria yetu inapovitaka vyama vya siasa kutoa taarifa Polisi, sababu mojawapo ni kuzuia mgongano wa matukio.

Biteko na Polisi wawe waungwana, watoe kauli ya kuwaomba msamaha waandamanaji kwa kosa la kutaka kuvuruga maandamano ya wananchi.
 
asie husika na maandramano ana husika vip kusumbuliwa asiendelee na shughuli zake
Tatizo wengi wanaotetea ule upuuzi uliofanywa na msafara wa Biteko ni watu duni wa uelewa.

Hawaelewi kuwa kila mtu ana haki zake zinazolindwa kisheria. Biteko au Rais akiwa kwenye msafara wake, watu husimamisha yote wanayoyafanya ili wao wapite. Hiwa hawavamii misafara yao kwa sabau misafara hiyo imeathiri shughuli zao. Halafu wao kwa kiburi cha ujinga, wananchi wanapokuwa kwenye haki yao ya kikatiba, hawataki kusimamisha mipangilio yao ili kuheshimu haki za wananchi wanazopewa kikatiba.
 
Baya hulipwa kwa Jema 🐒

Baya kwa baya ni ushamba 🐒
 
Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023

"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji

Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele

Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
Biteko hakujua ratiba ya maandamano? Kwanini hakuyaheshimu
 
Nilichokielewa kikubwa kabisa ni...

Kama mh Tundu lisu siku awe kiongozi, angependa kuitwa majina ya hovyo kama anavyowaita viongozi wengine, Je angependa tumdharau kama anavyoonyesha kuwadharau viongozi wengine?

Dewj kaon
Dewji kaongea ujinga. Aliyeruhusu maandamano na kisha kuruhusu msafara wa waziri Biteko upitie katika njia moja ndiye mjinga....kwa sababu siku zote maandamano yakisharuhusiwa...hayawezi tena kuchepushwa mara yanapo anzaanza safari. Askari walitakiwa kumpitisha Boteko njia nyingine.
Sasa walioruhusiwa kufanya maandamano waombe msamaha kwa Biteko kwa lipi.
Moja ya sababu kwa niini Tanzania bado iko nyuma kimaendeleo...ni kwa vile baadhi ya watu wanashindwa kutumia ubongo kutafakari na kuamua mambo kwa njia rahisi na ya wazi.
 
Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023

"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji

Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele

Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
Hao wafanyabiashara uchwara ndio wanao shirikiana ccm kula kodi za wananchi. Anaye paswa kuomba RADHI ni Biteko. Kwani alijuwa maadamano yapo kihalali. Yeye alienda kufanya nini? Pia alitaka kugaga wananchi na Gari ambayo imenunuliwa kwa kodi zao.
 
Baya hulipwa kwa Jema

Baya kwa baya ni ushamba

Nchi hii, wananchi wamelipa uovu, ufisadi na kila aina ya unyang'au wa watawala kwa wema wa kupindukia. Lakini watawala wala hawaoni wema na uvumilivu wa wananchi, na badala yake wanawaona wananchi hawana akili.

Inahitaji mtu kuwa na hekima ngalao ya kiwango fulani kumfanya atafakari akilipwa wema kwa mabaya yake. Lakini watawala wa kwetu, hata hiyo busara ndogo, walio wengi hawana.

Sasa ukiwa na watawala wa namna hiyo, kuwalipa wema kwa mabaya yao, kuwa mstaarabu dhidi ya ushamba wao, ni kuzidi kujitumbukiza shimoni. Kwa sasa wananchi wanastahili kutumia approach tofauti, ya wema kwa mabaya, na ustaarabu kwa ushamba, havina msaada.
 
Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023

"Mimi ni mshabiki wa vyama vya upinzani na kila mara huwa nasema Simba haiwezi kuwa imara bila kuwa na Yanga imara, hivyohivyo CCM inahitaji wapinzani imara ili kuwa imara zaidi, lakini saa nyingine wapinzani wanajisahau wanazungumza maneno ya kuleta fujo" - Alisema Mzee Azim Dewji

Mzee Azim Dewji amesisitiza ni muhimu wapinzani kuwa wastaarabu, wakikosa ustaarabu Serikali ikazuia maandamano wasipige kelele

Hata hivyo, Mzee Azim Dewji amesema kuwa Lissu ni Mnyaturu mwenzake na wote wametokea Singida, lakini kwenye hili ni vizuri akaomba radhi.
aende India hapa siyo kwao, ni kwa vile tumelala usingizi. Huu aa passport za India, Canada na Uingereza
 
Back
Top Bottom