Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi


mkuu hivi bado wazazi wako wapo hai ?
 
Karibu sana mzee Lwaitama ktk harakati za ukombozi,ccm walishindwa kukutumia vizuri njoo cdm mzee
 

Muongo,wacha kutudanganya hapa
 

Ccm ndio nyumbani kwa mafisadi
 
Huyu Mzee ni kichwa vibaya na alikuwa na mapenz na CHADEMA tangu mwanzo ataisaidia sana kujenga Serikali yake

Nikati ya wahaya wanaojitambua sana.😁😁
 
Wewe GENTAMYCINE acha uongo, hiyo university of Kenyatta iko nchi gani? Duniani kot3 hakuna chuo chenye jina hilo, kama unaamanisha kile cha Kenya kinaitwa KENYATTA UNIVERSITY na sio UNIVERSITY OF KENYATTA.
Huyo Dr LWAITAMA ni kweli amehama acha kujipa matumaini
 
Huyu Mzee ni kichwa vibaya na alikuwa na mapenz na CHADEMA tangu mwanzo ataisaidia sana kujenga Serikali yake

Kichwa au kichaa? Huyu mimi namjuwa vizuri sana.waliopita pale udsm (philosophy unit) watakwambia.mropokaji tu hana lolote na aende tu hana msaada kwa nchi hii.
 
Hata kama ni siasa, dharau za namna hii sio nzuri na sio ujanja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…