Azan Zungu: Wanafunzi vyuo vikuu wanatafuta kujulikana

fikirini

Senior Member
May 24, 2011
114
22
Jamani wana JF, huyu mwakilishi wa wananchi anapoponda mgomo wa udom akidai wanachuo wanatafuta umaarufu, mara wametumwa na chadema,! kweli amefanya utafiti na kujua tatizo ni nini! haoni umuhimu wa field? yeye alisomaje? ni kweli wanachuo wote wale na upeo wao wametumwa? na je ili iweje? mimi nadhani asilaumu upande umoja, tatizo ni wao wenyewe ambao ni tabaka tawala wamekuwa na porojo badala ya utendaji, viongozi wenzake kama kawambwa na pinda wote walifika udom na kutoa ahadi hewa.

Kwa dhati nimpongeze dada halima mdee kuwaambia hawa viongozi kuwa "hatuwezi kutumia siasa kutatua matatizo"
 
Vyuo vikuu vinatakiwa viwe independent institutions. Kwa hiyo Udom, na vyuo vingine vinatakiwa vitatue matatizo yao wenyewe bila ya kuitegemea Serikali. Fikra za Kijamaa zinafanya mpaka maDean wasijue mikakati ya kuendeleza shule, na badala yake wanataka serikali iwasaidie wao na wanafunzi wao!! Huu ni ujinga mkubwa uliopo vyuo vikuu nchini. Wake up TZ
 
Hawa CCM ni mazuzu sana wanaleta siasa za kijinga mpaka kwenye maeneo muhimu kama elimu,sasa kwanini huyo waziri mkuu wao huwa wanatoa ahadi za kutoa pesa za field kwa wanafunzi? naichukia serikali ya CCM haina tofauti na shetan,utaifa waameweka nyuma wamekazania siasa za maji taka.
 
azan zungu ameishia darasa la saba so sitashangaa akiongea utumbo kama huu.
 
Poleni sana huyo hajasoma hivyo msameheni bure, hajui alitendalo
 
Ndo tatizo la wabunge wa ccm wanafikiria kama funza,wawezaje kupingana na waziri wako mkuu namna hii kwa sababu naamini Pinda anaelewa tatizo ni nini na do maana alihaidi kulishugulikia.. sasa huyu Zungu anataka kusema ingelikuwa ni CDM Pinda angaliweza kutumia mda wake kwenda kusikiliza ujinga?ama hajawasiliana hata na Pinda ili kueleweshwa tatizo lilikuwa nini,wabunge wa hivi ni mizigo kwa taifa...kaishia la ngapi huyu?
 
Unapoteza muda kumjadili huyu kilaza . Kila jambo gumu linalo washinda wao wanaisukumia Chadema . Kiwewe hiki posho zinakatwa .
 
Vyuo vikuu vinatakiwa viwe independent institutions. Kwa hiyo Udom, na vyuo vingine vinatakiwa vitatue matatizo yao wenyewe bila ya kuitegemea Serikali. Fikra za Kijamaa zinafanya mpaka maDean wasijue mikakati ya kuendeleza shule, na badala yake wanataka serikali iwasaidie wao na wanafunzi wao!! Huu ni ujinga mkubwa uliopo vyuo vikuu nchini. Wake up TZ
mkuu unamaanisha vyuo viwalipie field allowances wanafunzi wao? Serikali bdo serikali inawajibu kwa vyuo.
 
Anatapatapa huyo kujipendekeza kwa jk, achananeni naye kwani chizi akikuibia taulo wakati unaoga nawe ukaanza kumkimbiza nani kati yako na yeye atakayeonekana kuwa chizi? So huyo tatizo lake ana elimu ya madrasa tu hata sekondari sidhan kama alifika. Viva cdm coz ccm fears you much.
 
Anayeyusha tu huyo mbona biashara zake anazofanya sisi tumenyamaza kimya?
 
Anayeyusha tu huyo mbona biashara zake anazofanya sisi tumenyamaza kimya?
zungu la unga nini! mbona jk hakusema biashara ya unga inawavutia na wadharaulika wabunge wenye magamba, natania tu bandugu.
 
Jamani wana JF, huyu mwakilishi wa wananchi anapoponda mgomo wa udom akidai wanachuo wanatafuta umaarufu, mara wametumwa na chadema,! kweli amefanya utafiti na kujua tatizo ni nini! haoni umuhimu wa field? yeye alisomaje? ni kweli wanachuo wote wale na upeo wao wametumwa? na je ili iweje? mimi nadhani asilaumu upande umoja, tatizo ni wao wenyewe ambao ni tabaka tawala wamekuwa na porojo badala ya utendaji, viongozi wenzake kama kawambwa na pinda wote walifika udom na kutoa ahadi hewa.

Kwa dhati nimpongeze dada halima mdee kuwaambia hawa viongozi kuwa "hatuwezi kutumia siasa kutatua matatizo"

unajua CCm wakiona mtu ana kipara na ni mweupe basi wanajua ana akili ..sasa haya ndo matatizo yake.... Zungu anaongea as if ni muuza ugoro yaani brain haifanyi kazi kabisa ...mweee
 
Back
Top Bottom