Kama mmeamua kutengeneza app kwa ajili ya chanel zenu vipi tena inawapata kazi ya kuzihamisha kila mara Yaani kukiwa na football mechi mnahamisha chanel ili eti watu wakaangalie kupitia ving’amuzi,Yaani Yaani bado hamjui kwamba watu wako karibu na simu zao kuliko ving’amuzi ambavyo wameviacha nyumbani.
Na hamjui kwamba umaarufu wenu unatokana na mpira tu na si vinginevyo?
Hebu tuandalieni utaratibu wa kulipia chanel zenu ili tuweze kuendelea kuona Ktk simu bila kero vinginevyo hata hiyo app yenu itakuwa haina maana yoyote tutaifuta tu.
Acheni kulewa sifa