Azam yaandaliwa kuwa Zanzibar Heroes? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Azam yaandaliwa kuwa Zanzibar Heroes?

Discussion in 'Sports' started by Amavubi, Jan 1, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Wapenzi wa soka,


  Inasemekana Azam inaandaliwa kuwa Zbr Heroes ndio maana Wazanzi-bara wengi wanakatwa na kuwekwa Wazanzibari, kadhalika kikosi cha kwanza Azam kimesheheni mastaa toka Zbr heroes.....hii inatokana na ukweli kwamba mosi mmiliki wake ni ..........na pili ukweli kwamba znb heroes inashiriki kombe la kisiasa la challenge ambalo ni mara moja tu kwa mwaka hivyo kuhitaji kuifanya timu hii iwe na kambi ya kudumu mahali fulani amabpo pameteuliwa kuwa ni AZAM FC!!

  Changieni
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Mmiliki bado ana hasira sana na SSC maana walimtukana miaka kadhaa kuwa tajiri anauza lamba lamba aende zake akaanzishe team yake.....sio SSC najua bado ana hasira na waliomsemea mbofu!!!!!
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  liambie hilo na hapa lazima msimu huu kieleweke..
  viva la azam fc
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ngoja ije hiyo kampuni ya ligi kuu tuone kama kweli inawachukua wazenji..kwan lazma na timu za zenji zije kushiriki..
   
 5. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo na JKT Oljoro yenye wachezaji watano wa Zanzibar Heroes na yenyewe inaandaliwa kuwa nini? Karume boys au? We mtoa mada acha tabia za chapati think outside the box damn it??????
   
 6. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hizo tetesi nimezisikia na ndiyo ilikuwa sababu ya Ramadhani Chombo Redondo ilikuwa atemwe kwenye kikosi cha Azam mwishoni mwa mwaka jana. Kama mtakumbuka hata Simba walipotaka kumsajili Azam walikataa na Redondo aligoma kwenda kwa mkopo Moro United. Nafasi ya Redondo imechukuliwa na ABDI KASSIM na kuna uwezekano mkubwa sana Redondo akasugua Bench kuanzia round ya pili utakaoanza mwezi huu. Hata watangazaji wa Clouds Fm wana hizo taarifa japo si Officially.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ngoja tuongee na kaka PK atupe ukweli ya nini kuhisi ili hali jibu lipo..
   
Loading...