Azam vs yanga updates

yanga hawana timu, wana majina makubwa tu, kwa hiyo Leo kichapo kwa yanga hakikwepeki
 
Yanga 2-0 Azam.Hutaki unaacha.
 
Azam wanaonekana wana hali ya ushindi!

MUNGU IBARIKI AZAM
 
Masikini yanga, niwape pole mapema.
Timu ndio zinaingia uwanjani sasa.
 
Pukudu naona Nyoni yupo ndani kwa hiyo unamaana yanga wanashinda??
 
Last edited by a moderator:
Pengo la JAJA litaonekana leo! TAMBWE ana nguvu laini mno.
 
Timu zote zinashambuliana kwa kuviziana.
 
Mbona azam wanaonekana kama watapakatwa mapema mnooooooo!!!!!
 
Gooooooooli.........kipa na beki wanajichanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…