Azam VS Star times kwa Sasa!

Azam VS Star times kwa Sasa!

mkuu, kwanza tambua AZAM hana chanel za bure, mwenye chanel za bure ni STARTIMES, TING, CONTINENTAL na DIGITEK.

Sasa kuhusu local chanel ni kwamba, startimes local chanel zinapatikana bure, vingamuzi vyao gharama yake ni 150,000 kile cha dish na 99,000 kile cha antena! sasa walichokifanya kwa kuwa watu wengi wanashindwa lipia 150,000 wametoa 44000 (kama sijakosea) alafu unanunua 106,000, local chanel unazipata kama kawaida ila hela yko ikiisha inabidi ulipie. ukitaka uzipate moja kwa moja wanakwambia malizia ile 44,000 watakufungulia moja kwa moja. kwa wale wateja wenye uwezo wa kununua 150000 moja kwa moja wao wanapata local chanel hizi bure.

Kwa vile ving'amuzi vyao vya antena ukinunua 99,000 unapewa na antena na unapata chanel za bure moja kwa moja.

Ukija upande wa vipindi honestly speaking naona startimes wameimprove sanaaaa, ingawa AZAM anawabit kwa Premier league.
Sasa kama Local channel hupati bure startimes kwa 106000 mpaka ulipie sh ngapi ndo unapata mkuu????
 
Sasa kama Local channel hupati bure startimes kwa 106000 mpaka ulipie sh ngapi ndo unapata mkuu????

mkuu ukisoma maelezo yangu yanajitosheleza sana

kama unataka kile kinachotumia antena ukilipa 99,000 unapata local chanel bure kabisa muda wote
kama unataka kile kinachotumia dish ukilipia 150,000 unapata local chanel bure!
 
Ahaa kumbe Mkuuu hapo sawaa...!! Nimekusomaaaa...
 
Baada ya Dstv kufutiwa Local channels kwa kweli Sina mood nayo kabisa labda kuangalia mpira Tu...! So Ushauri jamani kati ya Star times na Azam kipi King'amuzi bora kuanzia gharama mpaka kuhimili hali mbaya za hewa??? Kipi kinaonyesha Local Channels bure??

NB: Tokana na mabadiliko waliyoleta TCRA na sheria zao kuna mabadiliko makubwa sana kwenye Ving'amuzi so Mods msiunganishe huu uzi na Uzi wa mwaka 2017 huko please...

Hakuna kitu kinaniudhi kama rimoti za hivi ving’amuzi yaani unahitaji kutumia nguvu kubwa saana.sijui kwann wanshindwa kutengeneza imara kama vya dstv!
 
Startimes Ndiyo Kwasasa Wana Hizo Huduma
Halafu Kisimbuzi Cha Antenna Oops Nilinunua Bei Nafuu Sana Kipya Ila Sasa Hivi Kinauzwa Bei Ghari Mno
 
Yaani ni wahuni... ukitaka kusichohitaji kulipiwa kina bei yake.. kwa hiyo hayo makato wanayakata indirect, mfano cha dishi ukinunua 84 elfu hutakaa uone chanel hata moja hata TBC haioneshi ila ukiongeza hiyo elfu 40 ndio unaona zile za bure, hawa jamaa hawafai hata kidogo na sijui wanapata wapi kiburi hiki cha kuiba
Ni changamoto mkuu,
 
Hakuna kitu kinaniudhi kama rimoti za hivi ving’amuzi yaani unahitaji kutumia nguvu kubwa saana.sijui kwann wanshindwa kutengeneza imara kama vya dstv!
Mkuu hilo nalo ni changamoto kwa kweli ile sensor ya remote haina nguvu kabisa,Ila DSTV nawakubali Hata ubonyeshe ikiwa inaangalia wapi inareact fasta siyo hili ya Startimes ni mpaka uilekeze kwenye decoder
 
Back
Top Bottom