Azam vs Mtibwa

Aibu yao waliokuwa wameipatia Azam pointi 3 na goli 3 za mezani.

Azam kwa mtibwa ni nyanya siku ile kabla ya pambano kuvunjia ilikuwa moka moka huku mtibwa wakiwa pungufu mbaya zaidi walishafunga ngoli safi likakataliwa...ongera mtibwa hongera simba
 
This is very interesting,
Haya tuanze kutoa tafsiri zetu,
1. Je neutral ground ndio imetoa matokeo haya?
2. Je wangecheza Chamazi matokeo yangekuwa haya?
3. Je Azam uwezo wao unaonekana wakiwa Chamazi?
4. Je ile mechi ya awali Mtibwa walistahili kushunda?
 
Azam kapigwa 2-1 na ni dk za mwisho mwisho sasa!

Leo Azam wameshindwa kujinasua na madai ya kupendelewa.
Inawezekana kweli Mtibwa walionewa kwenye ile mechi na Azam, hasa mechi za mwisho za ligi walikuwa wanabebwa na marefa.
 
Mimi nilikuwa uwanjani, Azam wana timu nzuri na wamepata nafasi nyingi sana kikwazo kikwazo alikuwa ni Deo Munishi, naweza kusema pia Mtibwa kwa leo hawakuwa na cha kupoteza mchezo wao ulikuwa ni defensive zaidi, wamefanya counter attack wakapata kona goli la kwanza, la pili pia counter attack beki wa Azam kamweka mtu chini faulo ikapigwa goli huku sisi washabiki wa mnyama tukawa tunaruka ruka tu furaha tele.
 
This is very interesting,
Haya tuanze kutoa tafsiri zetu,
1. Je neutral ground ndio imetoa matokeo haya?
2. Je wangecheza Chamazi matokeo yangekuwa haya?
3. Je Azam uwezo wao unaonekana wakiwa Chamazi?
4. Je ile mechi ya awali Mtibwa walistahili kushunda?

ni mpira tu huo mkuu mbona manure ilifungwa na blackburn lakini bb akafungwa na asernal kwa hiyo unawezekucheza na usishinde vile vile nguvu zote msimu ujao jipangeni hasa simba na yanga maana nyie ndio mnajifanya soka la bongo lenu..

viva la azam fc
 
Hahahahahahaha wela wela, 2nawasubiri wanayebo yebo j2, na kwa jeuri 2nawawekea kikosi b, maana hawachelewi ku2letea fitna za kuuzima players we2 ili shoga yao al shadi afurahi.
Jamani mkiona tshirt za SIMBA BINGWA 2012 tupeane taarifa.
 
Back
Top Bottom