godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Licha ya kulipia package ya Tshs 23,000/= lakini tangu juzi nimekuwa sizipati baadhi ya channel kama:
1. AZAM SPORT TWO
2. AZAM HD
NICKELODEON
4. TBC ONE
Na nyingine nyingi tu hazipatikani, sasa sijajua shida iko wapi. Kifurushi changu bado ndio kwanza kina wiki moja tangu nikinunue.
Msaada wenu tafadhali
1. AZAM SPORT TWO
2. AZAM HD
NICKELODEON
4. TBC ONE
Na nyingine nyingi tu hazipatikani, sasa sijajua shida iko wapi. Kifurushi changu bado ndio kwanza kina wiki moja tangu nikinunue.
Msaada wenu tafadhali