Azam TV vipi tena?

Azam TV vipi tena?

Licha ya kulipia package ya Tshs 23,000/= lakini tangu juzi nimekuwa sizipati baadhi ya channel kama:
1.AZAM SPORT TWO
2.AZAM HD
3.NICKOLODEAN
4.TBC ONE
Na nyingine nyingi tu hazipatikani, sasa sijajua shida iko wapi.Kifurushi changu bado ndio kwanza kina wiki moja tangu nikinunue.Msaada wenu tafadhali
auto search
 
autosearch
 
hii nimeifanya mpaka ku restore kuinstall chanel upya.. imegoma chaajab jiran yangu znaonekana nikipeleka resever yangu install chanel upya znakuja ila nkienda kwang azioneshi sijajua tatizo nn

nilifikiri dish lang limecheza ikabid niangalie intensity zpo 98
na quality 48 azionesh
chakushangaza kwa jira kuna
intensity 75
quality 43 inaonesha vizur
azam awajanitendea hak kabisa tokea tarehe 2 daah..
 
Jamaa wanazingua channels zinascratch tu na nyingine hazioneshi kabisa na mbaya zaidi nyingine wamezitoa kabisa.....nishafanya kama walivyoelekeza ikawa bado nika auto search hola, factory default wapi....daaah azam mungu anawaona
 
saivi mm nimeachana nayo hata kulipia sita lipia sababu chanel za kulipia ndo wazifuta kwangu wameacha zile ambazo uwaga za bule
 
hii nimeifanya mpaka ku restore kuinstall chanel upya.. imegoma chaajab jiran yangu znaonekana nikipeleka resever yangu install chanel upya znakuja ila nkienda kwang azioneshi sijajua tatizo nn

nilifikiri dish lang limecheza ikabid niangalie intensity zpo 98
na quality 48 azionesh
chakushangaza kwa jira kuna
intensity 75
quality 43 inaonesha vizur
azam awajanitendea hak kabisa tokea tarehe 2 daah..

Ulipata ufunguzi mkuu? Mimi nimelipia leo ndio nagundua hiyo issue! Channels nyingi sioni
 
Back
Top Bottom