Ila wajiangalie haiwezekani taarifa ya habari ya ndani usione mpaka ulipie. Ilipaswa waweke kwenye channel ambayo iko huru
Kuna kipindi ITV hawakukubali kujiunga na king'amuzi chao watu wakasema mbovu sana eti mzee Mengi mbinafsi na kashfa kibao kumbe walikuwa kwenye makubaliano na sasa ITV inapatikana Azam, ila azam kwa nini hajiungi na visimbuzi vya wenzake au naye ni mbinafsi? Ingekuwaje azam abaki na kisimbuzi chake aoneshe habari yake, ITV wabaki na kisimbuzi chao cha digitek waoneshe habari zao, star tv wakabaki na continental yao wafanye mambo yao na ting pia. Azam angepata watazamaji wa kutosha kweli? Ajiunge na wenzake aache mbwewe huu si unga wa ngano bana.
Habari ninazopata ITV zinatosha, ninunue Azam labda kwa kuona Fatma Almas tu.Its a marketing strategy,kuuza azam two na one,its as the same as Blackberry walivyouza BBM Messanger to a free world of mobile os,nakupelekea watu kutonunua BB.
Waliopeleka chennel zao azam,its coz walishazidiwa nguvu and thats war in business.
Jipange taratibu tu,ununue azam
Habari ninazopata ITV zinatosha, ninunue Azam labda kwa kuona Fatma Almas tu.
Huko unapata taarifa,sio taarifa ya habari
Taarifa sio habari kuan tofauti ya kuangalia habri na kuangalia taarifa?
Usinichanganye na lugha bana.Ndio moja ni brief,nyingine ni detailed!
Mleta uzi unajaribu kumfananisha Chanongo wa Simba na Lionel Messi wa FC Barcelona.
Hizi stori nitaendelea kuzisikia na kuzisomaga tu
Maana nishanunua ving'amuzi viwili toka kujiunga na digital continental na star times
Na sina mpango wa kufuja tena pesa yangu kwa maving'amuzi
Hatuna muda nao maana hatuwezi kukusanya mavingamuzi meeengi ndani ya nyumba,, kama wanataka wapate watazamaji wengi wajiunge pia na vingamuzi vingine kama wanavyofanya wengine, otherwise nitaendelea na nilicho nacho tu,, labda wavigawe bure...
Kwa Dira ya Dunia BBC watasubiri Sana
Ila wajiangalie haiwezekani taarifa ya habari ya ndani usione mpaka ulipie. Ilipaswa waweke kwenye channel ambayo iko huru
wangeeka Chanel yao kwenye kila king'amuzi sasa sisi tusio na azam tutaonaje
nakubaliana na wewe ila namna walivyoendesha kipindi leo inavutia sana...unajua mwanzoni tulikereka na hawa azam ila from kusikojulikana leo wamekuja vizuriHaita ka iwezekane. BBC wana mareporter kila pande ya dunia sasa wewe unazungunzia tv ambayo hata hapa bongo tuu kuna baadhi ya maeneo hawana ma reporter?
Hahahaha we mzigo,weekend ume i extend nini.Hawauzi CD za taarifa ya habari kwa sisi tusio na ving'amuzi?
Labda ni marketing manager wa az tv!Mleta uzi unajaribu kumfananisha Chanongo wa Simba na Lionel Messi wa FC Barcelona.