G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 861
- 1,495
Wakuu, kuna hii Tamthilia inaitwa TWO WIVES inayooneshwa muda wa saa 2:00 usiku channel ya Azam two ina Muigizaji (character) mwenye viashiria vyote kuwa ni Shoga.
1. Sauti waliyoingiza ya Kiswahili ni ya mtu wa jinsi ya kike.
2. Muonekano wa huyu muigizaji ni wa utata
3. Ameigiza akiwa muda mwingi na wanawake
4. Jinsi anavyoongea kwa ishara za mwili (kubinua midomo, kuweka vidole juu, kushika shika kiuno na kuzungusha macho)
SWALI MUHIMU: Je, Azam hawajalibaini hili? Lakini yawezekanaje hawajalibaini wakati huyu muigizaji wamesample sauti yake kwa sauti ya mtu mwanamke?
Je, Azam wamelenga nini katika jamii yetu?