AZAM TV mnaamanisha nini kutulazimisha kuangalia taarifa ya habari via Azam App?

Screenshot_2018-07-14 Packages.png
Screenshot_2018-07-14 Packages.png
Mwenye vifurushi vya DSTV atuwekee hapa
Mwenye vifurushi vya DSTV atuwekee hapa
 
Inawezekana Azam TV wamekumbana na mkono wa dola,Hasa baada ya hii issue ya Sauti za Wananchi,na wamepewa vitisho kutokuisema hadharani.
[HASHTAG]#nimeota[/HASHTAG]
 
mbona channel zipo nyingi tu,hio taarifa ya habari unaangalia,Tatizo wabongo mna nafsi za kinafki za kulalamika.mbona mnakatiwa umeme na taarifa hampewi,.,,,

ha ha ha ha si mseme tu wawatengenezee kifurushi cha taarifa ya habari.
Usikariri sio kila Kituo kinarusha taarifa za habari kwa ufanisi na weledi huwezi linganisha habari za Azam na TBC&Star TV
 
Yaani mimi nasikitika kweli kukosa Habari, mimi binafsi napenda habari ya Azam sana, sasa wangetuweka wazi shida nini? Inaonekana watapoteza wateja wengi sana kwa hili la habari. Azam TV tuwekeni wazi tuelewe.
 
Azam TV (azam two) mnatukosea wateja wenu , tafadhali tunataka kipindi cha taarifa ya habari kirudidhwe hewani haraka sana ,
 
Mbona TBC wanaonyesha habari?
Unalipangiaje shirika binafsi wakati linaloendeshwa kwa kodi yako lipo
 
Back
Top Bottom