Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 872
Azam TV (azam two) mnatukosea wateja wenu , tafadhali tunataka kipindi cha taarifa ya habari kirudidhwe hewani haraka sana ,
BASI IKIWEZEKANA TUJULISHENI TATIZO NINI ??
Azam TV (azam two) mnatukosea wateja wenu , tafadhali tunataka kipindi cha taarifa ya habari kirudidhwe hewani haraka sana ,
Hivi unapoangalia vipindi kupitia Application ya Simu Azam TV wanaingiza chochoteSiku za hivi karibuni Azam Tv wamekuwa hawarushi taarifa ya habari ya saa mbili usiku kwa kisingizio kuwa ni sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Lakini baadae wameanza kutwambia wateja wao tuingalie Azam news via Azam app kwa wenye smart phone.
Jambo hili binafsi linanichanganya, inawezekanaje mrushe taarifa ya habari kupitia App za simu lakini kwenye TV haionekani?
Semeni ukweli kama kuna jambo mnalitafuta na si matatizo ya kiufundi.
Hivi tunavyoangalia vipindi vyao katika App kuna faida yeyote wanayoipata?Siku za hivi karibuni Azam Tv wamekuwa hawarushi taarifa ya habari ya saa mbili usiku kwa kisingizio kuwa ni sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Lakini baadae wameanza kutwambia wateja wao tuingalie Azam news via Azam app kwa wenye smart phone.
Jambo hili binafsi linanichanganya, inawezekanaje mrushe taarifa ya habari kupitia App za simu lakini kwenye TV haionekani?
Semeni ukweli kama kuna jambo mnalitafuta na si matatizo ya kiufundi.
Komenti Gani Hii Iko Nje Ya Mada?Yajayo yanafurahisha.
Je upo tayari?
Kuangalia Tv Kwa App Ni Ghali Sana Kwani Kununua Bando La Internet Si Mchezo.Hawa jamaa si walisema taarifa yao ya habari itakuwa inapatikana kupitia azam app......wajanja sana aisee....kulikuwa na alert inapita kwa chini kwenye screen that day ikitoa that alert.

Kosa ni la nani?Azam tv wameanza kuboa. Shame on you guyz!
Itakua wameshikwa pabaya HawaBASI IKIWEZEKANA TUJULISHENI TATIZO NINI ??
hawa jamii walikuwa wanatumia leseni ya azam group ambayo ilikua na memorundum ya bidhaa ambazo wanazalisha ila ile memorundam haioneshi mambo ya media xo wameifungia kwakukosa leseniSiku za hivi karibuni Azam Tv wamekuwa hawarushi taarifa ya habari ya saa mbili usiku kwa kisingizio kuwa ni sababu zilizo nje ya uwezo wao.