Azam Tv jirekebisheni katika hili

Azam Tv jirekebisheni katika hili

marahaba shem ake....we mi najua pa kukukamata, ukija kwangu usirogwe kuomba chakula ntaweka michumvi lundo hadi utapike!!
Basi nakutaka radhi shem langu...

Kweli Azam walikosea sana...

Naamini chumvi hautanihusu tena kwa kitubio hiki
 
Back
Top Bottom