Hahah mkuu mi naonaga hio Tv ni kwa ajili ya kusambaza tamaduni za wa-iran,waturuki inshort ni kwa ajili ya kutangaza tamaduni za waarabu/islam.
Mechi za LPL ndiyo zipi mkuu?Hamia DSTV
Hiyo kusingekua na mechi za LPL ingekua imekufa kibudu
Mkuu utaniuzia kwa bei ya kutupwa bi mkubwa anapata tabu kuangalia sinema zetu kwa majirani nimpatie afurahie maana ananisumbuaWala sio promo, mie nilikuwa napenda mbc 2, mbc action na mbc max kwa sasa hizo zote na zingine nzuri wameoondoa, halafu gharama bado ziko juu. Huu ni mwezi wa mwisho kulipa ntabaki na dstv tu.
Bei gani mkuu?Nauza kisimbuzi cha Azam Tv kwa bei nafuu tu
Hawana marketing website nipitie? Hizo sports unaweka kwa msimu then unang'oa kaka.DSTV huwezi kuimudu brother kama huna bajeti kubwa.
Kupata channels za sports ni bei ya kununua kisimbusi kingine cha DSTV na unabaki na chenchi 😂😂
Kisimbusi ni nini broNauza kisimbuzi cha Azam Tv kwa bei nafuu tu
Channel pekee ninayotazama ni Aljazeera nyinginezo ni taka taka kabisaaa
Toka wiki iliyopita niiikosa azam nikajua ni Kwa muda kumbe haijarudishwa! Bora nikomae na DSTv tu silipii tena azam.Emmanuel TV inarushwa bure hewani.
Haina kusaini wala mkataba na mmeifuta.
Sisi wateja wenu tunataka muirudishe.
Dstv kuna kifurushi hadi cha Elfu 19 kwa mwezi na kiko poa tu.Toka wiki iliyopita niiikosa azam nikajua ni Kwa muda kumbe haijarudishwa! Bora nikomae na DSTv tu silipii tena azam.
28,000 kwa ajili ya Sultan tu !Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!
Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!
Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!
Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
Wanayo inaitwa multichoice TanzaniaHawana marketing website nipitie? Hizo sports unaweka kwa msimu then unang'oa kaka.
Haiwezekani! kama wataanzisha kweli mtandao wa simu huo ujinga hautakuwepo na ukiwepo mtandao wao utakuwa kama Zantel tu na hatimaye utakufa.Na bado.
Azam inakuja kwenye Biashara ya Mawasiliano. Ukipiga simu huduma kwa wateja unakaribishwa na Assalam Aleykum.
Waacheni waislamu wainuke sasa. Ni zamu yao. Wamebaniwa sana kimfumo tangu enzi za Mwalimu. Ukiwa upande wa 2 huwezi kuelewa.
Baada ya muda mambo yatabalansi yenyewe. Kwa sasa vumilieni tu.