Makiristo ndivyo yalivyo mkuuu. Chuki chuki we yapotezee tu.Hivi Charles Hillary,Ivona na Mumewe,mifano michache tu,hao wote ni majuba? Kuna watu muna udini sijapata kuona. Taasisi yoyote ambayo ina Waislam kuzidi Wakristo lazima isemwe ni Udini. UDOM,NSSF ni mifano michache. Lakini tasisi hizo hizo zikiwa na watu wengi wa dini nyingine,siyo UDINI. Kuna watu ni wachumia tumbo sana aisee. Kila siku kwa ubinafsi,Waislam wakiwa wengi taasisi yoyote,ni UDINI,Wakristo wakiwa wengi kwa mfano sasa huko NSSF siyo UDINI. Huu ubaguzi hautufikishi POPOTE.
INAKERA SANA HII SCENARIO.
Wakwendee huko na udini yao ya kijinga me saivi nipo dstv so much more napata nnachotaka, sio unakua na decoder ndani lakini unaamuliwa cha kutazama sijui na muarabu gani huko Zanzibar pyeeeUdin at work
Muksin Mambo anajua anachofanya
Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa
Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na
Udini unaimaliza azam
ni kama startime machannel kibao wagalatia makafiri mpaka inaboa huyu ana pepo anatolewa huku mwingine kaoma kwa mchungaji sasa kawa taji mwingine alikufa mchungaji kamfufua hao wachungaji wanaofufua watu si waende makaburi ya kinondoni kuwafufua wakina kanumba
Tanzania bado hazijafika ziko kenya tu nani kwa ajili ya Wi-FiZuku fibre anaejua aniambie inafanyeje kazi au unapataje wa mkoani?
DSTV huwezi kuimudu brother kama huna bajeti kubwa.Thanks so much
Watu wanaosema Azam kuna udini sana na wanatoa sababu wanakosea??Hapana wala sio sales sipendi majitu yanayopenda masuala ya dini...!!!nachukia mtu mdini!dini
Mkuu unaweza kuwa na point ila kuwa neutral fuatilia hiliHivi Charles Hillary,Ivona na Mumewe,mifano michache tu,hao wote ni majuba? Kuna watu muna udini sijapata kuona. Taasisi yoyote ambayo ina Waislam kuzidi Wakristo lazima isemwe ni Udini. UDOM,NSSF ni mifano michache. Lakini tasisi hizo hizo zikiwa na watu wengi wa dini nyingine,siyo UDINI. Kuna watu ni wachumia tumbo sana aisee. Kila siku kwa ubinafsi,Waislam wakiwa wengi taasisi yoyote,ni UDINI,Wakristo wakiwa wengi kwa mfano sasa huko NSSF siyo UDINI. Huu ubaguzi hautufikishi POPOTE.
INAKERA SANA HII SCENARIO.
Mkuu wakwetu wanapopotea inabidi turekebishane maana yeye tupo nae kila siku huyu mgeni ataondoka kurudi kwaoWatanzania punguzeni jazba basi kidogo! This is free market economy! You may decide to jump as a frog to another company to enjoy services that you wish to get instead of unnecessary blah! Blah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DSTV huwezi kuimudu brother kama huna bajeti kubwa.
Kupata channels za sports ni bei ya kununua kisimbusi kingine cha DSTV na unabaki na chenchi [emoji23][emoji23]
Chuki hizi, Startimes ni Chinese company inafanya kazi worldwide yani Azam cha mtoto sana na si kisimbusi cha dini fulani.ni kama startime machannel kibao wagalatia makafiri mpaka inaboa huyu ana pepo anatolewa huku mwingine kaomba kwa mchungaji sasa kawa tajiri mwingine alikufa mchungaji kamfufua hao wachungaji wanaofufua watu si waende makaburi ya kinondoni kuwafufua wakina kanumba
Kenya giant ni Gotv, na Zuku kisha DSTVAzam tv kwa hapa bongo anatukamua sana kwenye malipo, nenda Kenya vifurushi vyake bei cheee
Zuku fibre anaejua aniambie inafanyeje kazi au unapataje wa mkoani?
Udini utawamaliza nasikia hadi ma messenger ni lazima uwe wa dini yao
Atakua anatumia market penetration strategy. Vipi anawateja wakutosha huko?Azam tv kwa hapa bongo anatukamua sana kwenye malipo, nenda Kenya vifurushi vyake bei cheee