RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 3,590
- 8,476
Mkuu unanifurahisha sana, ingawa unashindwa kunipa link, nikienda Wikipedia zinakuja link nyingi, Cha mwisho naomba upitie hii document hapa chini ya sensa ya 2012 unionyeshe wapi waliweka kipengele cha dini na asilimia zake.Nenda tu Wikipedia andika Tanzania basi
Unasikitisha sana, anyway endelea kuamini unachoamini.Mkuu unanifurahisha sana, ingawa unashindwa kunipa link, nikienda Wikipedia zinakuja link nyingi, Cha mwisho naomba upitie hii document hapa chini ya sensa ya 2012 unionyeshe wapi waliweka kipengele cha dini na asilimia zake.
Mkuu ulidai NBS ndio walitoa hizo takwimu,hio ndio document ya NBS sasa unapoingia wikpedia wanatoa taarifa katika taaeisi zinazotambulika,taasisi inayotambulika ndio hio kwa Tanzania kwakutoa takwimu, Kama kuna taasisi isiyo yakiserikali ilifanya sensa hio niambie mkuu,au utuwekee document tujisomee wenyewe.Unasikitisha sana, anyway endelea kuamini unachoamini.
Kwa hiyo mimi nikiweka majina ya kiislamu/kiarabu ndio itakuwa vivid example? Idiot!Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe? Mwenzio kaja na vivid example umezikataa halafu unaleta ishu zako mwisho unajijibu mwenyewe, enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga
Tulijua tu lazima utakimbia sensa ya kipengele cha dini iliisha mwaka 67, 2012 baadhi ya waislam tuliwekwa ndani kisa kuigomea hiyo sensa kama huamini kaulize wagalatia wenzioUnasikitisha sana, anyway endelea kuamini unachoamini.
Duu! Aliyewaroga wagalatia na alaniweKwa hiyo mimi nikiweka majina ya kiislamu/kiarabu ndio itakuwa vivid example? Idiot!
Nimejaribu kukufafanulia vizuri kabisa na nikakuwekea proved articles zilizoko Wikipedia zinazoielezea Tanzania na mifumo yake bado hutaki kuamini.Mkuu ulidai NBS ndio walitoa hizo takwimu,hio ndio document ya NBS sasa unapoingia wikpedia wanatoa taarifa katika taaeisi zinazotambulika,taasisi inayotambulika ndio hio kwa Tanzania kwakutoa takwimu, Kama kuna taasisi isiyo yakiserikali ilifanya sensa hio niambie mkuu,au utuwekee document tujisomee wenyewe.
Mwisho kigezo cha dini kilifutwa kwenye sensa ya 1967, mwisho kabisa endelea kuamini hivo, lakini mie naamini document rasmi zinazotambuliwa kimataifa.
Mjadala mwema.
Una matatizo fulani fulani.Tulijua tu lazima utakimbia sensa ya kipengele cha dini iliisha mwaka 67, 2012 baadhi ya waislam tuliwekwa ndani kisa kuigomea hiyo sensa kama huamini kaulize wagalatia wenzio
😂 😂 😂 😂 😂Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa
Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na
Udini unaimaliza azam
Mkuu unafahamu hata wewe au mimi nauwezo wakupublish taarifa zangu Wikipedia?.Una matatizo fulani fulani.
umesoma article yangu niliyoiweka?
Kwa kweli hakuna. Niliboreka sana walipotoa taarifa ya habari na kuipeleka UTV. Hawa jamaa sijui hawaoni hii hali ya uchumi. Yaani tulipie king'amuzi kisha tulipie bundles za simu kuangalia taarifa ya habari! Uzuri nina DSTV, wataiona pesa yangu ligi kuu ikianza.Tofauti na ligi kuu Azam kuna lipi hasa!!
Nimejaribu kuelezea uzoefu wangu kwenye hilo kuwa mimi binafsi mwaka 2012 katika mkoa wa Mwanza niliulizwa maswali hayo kama mkuu wa kaya dini yangu ni ipi.Mkuu unafahamu hata wewe au mimi nauwezo wakupublish taarifa zangu Wikipedia?.
Unafahamu kama unafanya Research au Project, Wikipedia inazuiliwa kama reference au source ya habari?.Unafahamu kw nini hairuhusiwi?.
Mwisho kama unaamini hivo idadi ya wakristo nikubwa kuliko waislam wala sikupingi,lakini nachopinga nikudai kuwa sensa ya mwaka 2012 ilitaja kigezo cha dini.Maana document kutoka office ya takwimu ya taifa nimekuwekea hapo, unionyeshe wapi asilimia za dini ziliwekwa naona umeruka. Inawezekana nchi hii wakristo niwengi kuliko waislam wala sipingi na naomba uendelee kuamini hivo.
Lakini nachokataa nikuwa sensa ya 2012 haikuweka kigezo cha udini, nakama kingelikuwepo waislam walipotaka kiwekwe hicho kigezo Serikali iligoma na mpaka waislam wakataka kususia sensa hiyo, Sasa labda kama kuna sensa isiyo rasmi iliyopita makanisani kujua idadi ya waumini wake wala sikatai.
Uwanjani wanaenda watu wenye dini na wasio na dini. Wangepaswa waweke na kanisa piaHiyo misikiti iliyokuwepo uwanjani wanalazimishwa wachezaji wasio wa hiyo imaani kwenda kuabudu/ kusali? au ni zambi kujenda nyumba ya ibada ? au labda ulipenda wangejenga na kanisa?
Nimejaribu kukufafanulia vizuri kabisa na nikakuwekea proved articles zilizoko Wikipedia zinazoielezea Tanzania na mifumo yake bado hutaki kuamini.
Mwaka 2012 wakati watu walioajiriwa na ofisi ya Takwimu ya taifa walikuwa wakihoji dini za wanakaya husika na hata kama mkuu wakaya hayupo aliyepo ndiye aliyetakiwa kutoa taarifa husika.
Mimi ni mmoja wa wanadamu walioulizwa maswali na mawakala wa ofisi ya taifa ya takwimu waliokuwa wakiendesha hilo zoezi Mkoa wa Mwanza.
Mwisho kabisa idadi ya Wakristo kuwa wengi kuliko waislamu kwa Taifa letu na hata Afrika nzima inaweza isikuhitaji hata takwimu kutambua.
Figisu hizo.Nilikuwa naangalia ITV kwenye dikoda ya Azam kule kwenye other channels kuna channel inaitwa Emmanuel TV ulikuwa uki tune unapata ITV
Kristo AkuongozeHawa wenzetu na udini huwezi kuwatenganisha. Hata hizi tamthilia zinalenga kueneza dini. Siku si nyingi ntafutilia mbali likingamuzi lao. Ngoja hii tamthilia ya suntan iishe maanA home hawatanielewa na baada ya hapo ntafanya maamuzi
Usiwe na akili za kijinga za form four failures.Mmh mmh we kijana acha uwongo hao watu walipita kila mahala ilo swali ndio nalisikia kwako kanda uliulizwa peke yako