Azam Tv inapoteza mvuto

Azam sasa hivi ni nzuri kwa league ya bongo tu, otherwise wamezidiwa na startimes
 
Asante

Mm ni mbwa

Ila udini sijausema kwenye wafanyakazi

Ungejaribu kuniuliza , matusi hayafai ndugu

Ubarikuwe na pendo la bwana wetu Yesu kristo.
 
Sisi wapenzi wa
Let Love Lead, tunahitaji mturudishie channel yetu pendwa ya
Emmanuel TV.
Tumenunua Kisimbusi cha Azam kwa ajiri hiyo tu na Ligi ya TPL.
Bring Back Emmanuel TV.
Please
Emmanuel T v hata kwenye DSTV IPO mbona
 
Ukitaka burudani ya kweli nunua dstv..

Ila kama bajeti zinabana nenda tu kwa mchina (startimes)
Dstv wako vizuri tu tena kifurushi cha bomba cha 19000 uanapata burudani tosha kwanini ulipe 28000?
 
Emmanuel T v hata kwenye DSTV IPO mbona
Ndio IPO hata kwenye kufurushi cha elfu 19 kwa mwezi.
Ila mimi niliwapa kipambele Azam kwa kuwa ni kisimbusi cha hapa nyumbani.
Ila kwa hii attitude wanaoanza kuionyesha sina namna zaidi ya kuanza kujichanga ili niinunue dstv, hakuna haja ya kugombana na wenye visimbusi.
Dhana ya mteja ni mfalme inakuwepo kwa wafanya biashara wadogowadogo
Kwa wakubwa wao ndio wafalme.
 
Kwa anayehitaji King'amuzi chochote au huduma ya ufundi kwa Dar es Salaam

Bei zetu za ving'amuzi
DStv 99,000 + 20000 ufundi
Startimes(dish) 140,000
Azam 145,000

Simu: 0764453848
 
Nauza king'amuzi cha DSTV bei chee elf 70. Maongez yapo
Kwa anayehitaji King'amuzi chochote au huduma ya ufundi kwa Dar es Salaam

Bei zetu za ving'amuzi
DStv 99,000 + 20000 ufundi
Startimes(dish) 140,000
Azam 145,000

Simu: 0764453848
 
Hii hakuna atakayejibu...
 
ukijibiwa nitag mkuu
 
kama watu wa azam wamo humu wazingatie haya maoni ya wadau,ni muhimu sana kwao
 
cheki TBC hiyo itakufaa.
 
Wanarekebisha mitambo
 
Huduma ya kebo ipo Vizur kweli Chanel zote za local unapata Chanel za nje zimo Yaani full burudani
Hiyo huduma ya kebo inapatikana Daresalam ?
Naihitaji
Hebu eleza inapatikanaje
 
Hi
Huduma ya kebo ipo Vizur kweli Chanel zote za local unapata Chanel za nje zimo Yaani full burudani
Hivi hii huduma ya kebo mikoani inapatkana vipi.? Navipi malipo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…