Week nzima walikua wakitutangazia juu ya hizi mechi za leo na kesho,Watakuwa wamejichanganyq wakidhani VPL nayo imekuwa postponed until further notice.
COVID-19, imewaathiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
hujui kama kuna Corona?Kwema Wakuu,
Azam TV ndio king'amuzi pekee kwa tanzania wenye Hakimiliki ya Kuonyesha moja kwa moja Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara, maarufu kama VODACOM PREMIER LEAGUE.
Leo Hii Jumamosi tarehe 14th March 2020 kuna mechi kadhaa za ligi zinachezwa kama vile Polisi V/s Ndanda, Mtibwa Sugar v/s Biashara United, Lipuli FC v/s Kagera Sugar na Singisa United v/s Mbeya City.
Katika Mechi hizi zote nne, hakuna mechi hata moja inayoonyeshwa na hawa Azam kwa Channel yao yoyote ile. Huu ni wizi sababu kwa wiki nzima hii wamekua wakitutangazia kua wataonyesha hizi mechi.
Huu ni wizi na Utapeli wa wazi kabisa. Leo jumamosi hakuna chanel yoyote ya Azam inayoonyesha ligi hii na hakuna tukio lolote la kuleta udhuru labda mechi hizi za VPL zisionyeshwe. Mkianza tabia hii mkaizoea soon tutawakimbia.
Watakuwa labda simba,Yanga tumegomea mara kadhaa vijisenti vya Azam,Ila tifua tifua tifua nawao wana ten percentSimba na yanga Zina viongozi vilaza hawakupaswa kulipwa sawa na timu nyingine kwani wao ndio mechi zao zinaonyeshwa sana
Hizi timu zisingekuwepo basi hata hakuna angehangaika na AzamEndapo Simba & Yanga zisingekuwepo; basi king'amuzi cha azam kingekuwa kama kile cha Ting HD.
Simba na Yanga wakiwa makini na kuacha uswahili wanaweza kujiendesha kupitia mapato yanayotokana na king'amuzi hicho.
Fikiria endapo mechi za timu hizo zisingekuwa zinaoneshwa, Je, wangeweza kuviuza na watu kulipia kama ilivyo sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga waligomea kipindi Cha manji baada ya manji kuondoka walirudi kuchukua pesa ni manji aliyekataa Soo viongozi wa yangaWatakuwa labda simba,Yanga tumegomea mara kadhaa vijisenti vya Azam,Ila tifua tifua tifua nawao wana ten percent
Yanga aliwahi kugomea hii kitu ila swahiba wake Simba hakumsupport akakosa nguvu.Simba na yanga Zina viongozi vilaza hawakupaswa kulipwa sawa na timu nyingine kwani wao ndio mechi zao zinaonyeshwa sana
Aligoma manji lakini baada ya manji kuondoka yanga walichukua pesa usipotosheYanga aliwahi kugomea hii kitu ila swahiba wake Simba hakumsupport akakosa nguvu.
mkuu unachosema sio kweli azamu tv soko lao kubwa liko kwa wanawake na zile tamthilia nakumbuka waang aliaji wakubwa wa tv ni wanawake na wamewakamata tayar kwa hiyo usijimwambifai na mpira wakoEndapo Simba & Yanga zisingekuwepo; basi king'amuzi cha azam kingekuwa kama kile cha Ting HD.
Simba na Yanga wakiwa makini na kuacha uswahili wanaweza kujiendesha kupitia mapato yanayotokana na king'amuzi hicho.
Fikiria endapo mechi za timu hizo zisingekuwa zinaoneshwa, Je, wangeweza kuviuza na watu kulipia kama ilivyo sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app