Azam tv decoder

Mpenda kazi

Senior Member
Dec 13, 2013
157
225
nahitaji decoder ya azam niko Nairobi, ni hela ngapi in kenya shillings?

Kwa shilingi za kitanzania ni 135000, ambapo kuna sh.12500 free kwa malipo ya mwezi.

Kwahiyo kazi kwako ku-calculate kwa thamani ya fedha za huko.
 

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,782
2,000
AzamTV ongezeni ITV n EATV mkamate soko. Otherwise mtasubiri sana

itv&eatv wabinafsi sana,wanatengeneza mazingira magumu ili kampuni yoyote ya digitali ishindwe kuafikiana nayo,mi naona ndio wanapotea kwani hata ktk madishi ya kawaida kuwapata ni kwa shida sana,wanategemea digitek zao lakini coverage yake ni ndogo sana country wide,kwa kifupi wao ndio wanapotea na watasubiri sana kwani hakuna kampuni itakayokubali kupeleka matangazo ktk kituo ambacho coverage yake ni ndogo
 

dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
11,525
2,000
Biashara ni maslah,Ukweli utabaki kuwa ktk tv chanel za Bongo kwa maoni yangu ITV ndio wanaoongoza kwa vipindi vyenye maana Vingine %kubwa viko mifukoni mwa wanasiasa Uchwara! so nyie watu wa AZAM mnatakiwa mliangalie hilo
 

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,941
2,000
ndugu yangu ni bora huje mwenyewe hapa bongo kununua usisubiri kuletewa huko nairobi utatapeliwa bure
 

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,800
1,250
Azam tv sijui wanataka huruma ya watanzania au vip wameshindwa kuleta kitu tofauti channel zao ni kama ving'amuzi vilivyopo za kipuuz tu so ni ngumu kushawishika kununua king'amuz kipya wakat unacho kama star times!!! kwa mwenye DSTV ndo kabisa huwez shawishika!!!
 

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,393
2,000
AZAM TV ndio Mpango mzima.
We kama unataka uwekewe channel za Ngono umedunda ndugu yangu.
Hakuna anaelazimishwa kununua ni hiari yako.

Ukisusa kumuunga Bakhresa kwenye Decorder basi najua utamkubali sehem nyingie indirect.
We mtu mwenye akili timamu kama sio taahira ndio anaweza kusema Channel za kipuuzi.
Washauri walitumika ni Experts wa kazi hizo kuliko unavyofikiria.

We unalazimisha kila mtu awe na Dstv,we kwa mshahara gani ulionao wa kulipia Dstv kwenye bandle ya maana ya zaidi ya laki moja kwa mwezi huku kwenu Matombo familia inakufa njaa.Huyu anajali watu wa rika zote na bei ni affordable na wala hana mambo ya sijui bandle hii bei hii mara hii bei hii kama waleee.

Kwanza mie nampongeza kwa kuweza kuonyesha Ligi ya Hapa nyumbani,mie nina decorder ya Zanzibar Cable TV na Coconut Digital TV ila nimenunua Azam Decorder kwa mambo mawili muhim,kwanza Ligi ya Vodacom na Sinema za nyumbani and other Movies Channels.

Kwa wanotaka Channel za ngono kwa kuponda Azam Tv wasubiri sana na tuwape pole.

Na Kwa taarifa yako Azam TV Decorder ndio pekee kwa mara ya mwanzo Tanzania kufikia mikoa mingi kiasi hiki kwa mkupuo.

Kwa ufupi utawakubali tu hata kimya kimya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom