Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,423
- 998
Hawa jamaa naona wameanza usanii fulani,
Mimi ni mteja wa Azam TV na nimekuwa nikilipia kifurushi cha TZS 23,000. Huwa natizama zaidi Channel moja tu INVESTIGATION DISCOVERY. Sasa hapa juzi bei imeshuka kwenda TZS. 20,000.Nimelipa lakini nimeshindwa kuipata hiyo channel, kabla ya kukitekeleza king'amuzi chao,nikataka nipate maelezo toka kwao.
Nimepiga simu kuulizia kama hiyo channel ipo aliyepokea simu kanieleza ndiyo ipo kifurushi cha TZS20000 na akaniambia subiri mpaka simu ilipokatika. Baada ya hapo simu zao either zinadai network bussy au inaishia pale Foe English place One for Kiswahili place Two. Ukipiga usiku wa saa 5 inakueleza kuwa muda wa kazi ni mpaka saa nne usiku.
Nimeandika hapa baada ya kuona sipati majibu kwani nimeandika na Email sijajibiwa ingawa siku nyingine email zinajibiwa kwa haraka.