Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,835
- 9,856
Bandari nimepewa tayari, nasikilizia mchongo fulani hivi ukitiki nakuja kuanza kuwapelekesha kenge nyie.Bandari wamekupa kwanza? Mbona unafatilia vitu vidogo sana
Nitainunua azam wasipo jirekebishaTumia nguvu zako za kipesa Mfalme DP World
Naomba acc no yakoMkuu we ndo boss la bandari tuseme nini sisi
Lazima niwachaneMkuu wacha povu...
wamekataa Azam peleke TBC au Chanel 10.
Nikweli kabisa.Unafiki ni jambo baya, na huo uislam unakemea hilo jambo.
Wao kama hawataki pombe waseme tu hatutaki wasijifiche kwenye mwamvuli wa dini, vinginsana wanafanya kwenye dini hairuhusiwi.
Dini haitaki double standard
Kuvaa chupi ruksa?Uislam unakataza pombe na nguruwe tu ,Mengine ruksa
Punguza chuki mkuu, Ile ni investment ya watu ,they have rules and regulations for their help,unazan tbl na sbl hawamudu matangazo Azam,af mbna washkaj wanajitoa Sana kimisaada na mengineyo ok endelea kuconnect dots na Mambo ya Gaza mkuuNilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV.
Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki.
Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao pombe ni haramu lakini muziki wa kidunia ni halali? Maana UTV inaweka nyimbo za hovyo na wasanii waliovaa vichupi, tangazo la Hotel Verde pia lina mdada kavaa chupi, je hayo ndiyo yanafaa kiimani?
Nitoe wito kwa wamiliki kuacha unafiki, kama wameamua kufuata maadili waachane na muziki, ndondi, movies za kipuuzi nk. Na kama wanaruhusu hayo waruhusu pia matangazo ya pombe.
ZBC Pia hii inawahusu.
Tena ni sunnaKuvaa chupi ruksa?
Tu can ,kill all Muslims in Tanzania mainland Anza namm npo makambako hapaNilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV.
Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki.
Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao pombe ni haramu lakini muziki wa kidunia ni halali? Maana UTV inaweka nyimbo za hovyo na wasanii waliovaa vichupi, tangazo la Hotel Verde pia lina mdada kavaa chupi, je hayo ndiyo yanafaa kiimani?
Nitoe wito kwa wamiliki kuacha unafiki, kama wameamua kufuata maadili waachane na muziki, ndondi, movies za kipuuzi nk. Na kama wanaruhusu hayo waruhusu pia matangazo ya pombe.
ZBC Pia hii inawahusu.
Hakuna chuki, ni ukweli, bora asingetoa kigezo cha dini.Punguza chuki mkuu, Ile ni investment ya watu ,they have rules and regulations for their help,unazan tbl na sbl hawamudu matangazo Azam,af mbna washkaj wanajitoa Sana kimisaada na mengineyo ok endelea kuconnect dots na Mambo ya Gaza mkuu
Sina uhakika japo kuna minong'ono hiyo.Ajira zao wanaangalia Imani pia?