MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 966
- 1,225
Wakuu sijaelewa mnazungumzia rangi gani hapo ya tv au rangi ya jinsi taarifa yao ya habr inavyoonesha isije kua unatumia C.R.T TV mana hvyo ila kwa wenye FLAT TV mbona SAFIIv unaangalia azam gan mkuu iv azam na ITV wapi wana rangi mbaya