Azam news wamekuja Juu sana kwa habari

Azam wanatazamwa zaidi uko pemba
Inawatangazaji mahiri, lakini TV lao lina rangi mbaya hata king'amuzi rangi yao kama clouds na channel 10 hazivutii kuangalia, azamu watu wanaangalia mpira tu vpl vinginevyo hakuna kitu asikudanye mtu kuifikia ITV itasubiri sana labda wabadilishe rangi ya TV yao mbaya sio clear
Acheni wivu wa kichaga!
 
Wakuu kiukweli hiki kituo cha azam ni moja ya kituo bora kwa sasa kwa upande wa habari muda wa saa2
Ni wazi sasa ITV wanahitaji kujipanga kuwafikia hawa jamaa kwani ni wafanisi sana na wako ki general news sio ki upande mmoja
BiG UP AZAM NEWS
ITV bado wako juu sana. Well Azam wanajitahidi, lakini bado. Kingine, azam wako expensive. Yaani, ili uone Azam TV, lazima uwe na kingamuzi chao. Sijui kwanini, hawashirikiani wengine. Wajitahidi basis waende pia dstv
 
Inawatangazaji mahiri, lakini TV lao lina rangi mbaya hata king'amuzi rangi yao kama clouds na channel 10 hazivutii kuangalia, azamu watu wanaangalia mpira tu vpl vinginevyo hakuna kitu asikudanye mtu kuifikia ITV itasubiri sana labda wabadilishe rangi ya TV yao mbaya sio clear
eeeh! azam ina rangi mbaya! heheheeeee. hii ni supa brand ya matopeni
 
Azam wako juu kabisa.. Ninaona wana channel ya Sinema na michezo, nina washauri wa anzishe Azam news channel. Iwe ni full habar 24/7, uwezo wanao na nguvu wanayo.. itakua game changer East Africa, na itasaidia watu wasio kua na muda kuangalia habar mida ya vipindi vya habari ku habarika.
 
mambo mengine bhana Yani kweli unafananisha azam na itv ya Sam mahela huko ni kumkosea kbs bakhresa azam fananisha BBC au Al-Jazeera na km michezo fananisha na bein sports au superspot itv walishindwa hata kuonesha sports pesa picha za hovyo kbs
 
Back
Top Bottom