Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,739
- 6,644
Dstv wako level ya InternationalSalam,Nimeshanunua Dstv na Bado sijaifunga mpaka next week.Ila Bado napata utata mpaka nawaza nibadili gear ninunue decorder ya Azam Kwa namna raia wanavoiponda Dstv.
Wanadai kwamba Dstv inaganda,wanarudia rudia vipindi sana.Ushauri wenu,Dstv na Azam nani zaidi ?
Yes na tamthilia zilizotafasiliwaKwa hiyo Azam ni Bora Kwa mipira ya Tz?
JIUNGE na Uendelee kuburudikaNapenda mziki wa ulaya na documentary Kali na movie
Na pia wanarudia rudia Ili ambao walimiss Kipindi nao wakione tena,nadhani hawana lengo bayaYaani anaekwambia wanarudia vipindi ni wazi king'amuzi hajui hata bei maana mda wote anashinda kwa TV na haiwezi kuwa yake yaani yupo kwa ndugu. Ukiwa unamililinTV ni ngumu kuwa mtu wa kushinda ndani mpaka unajua vipindi kiasi hicho.
Ndio zaid ya hapo bora ata star timesKwa hiyo Azam ni Bora Kwa mipira ya Tz?
Chanel za kawaida sana.Uwezo wangu ni Cha 37,000
DSTV hapa hana mpinzani.Napenda mziki wa ulaya na documentary Kali na movie
Channel kubwa ya azam ya movie ni ipi?DSTV documentary wanarudia sana... hata movies pia...
Bora utafute unlimited bundle ustream online...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Azam ni chanel ya wapiga kura.
Ndio maana hata filamu za kingereza wamewatafsiria wateja wake (wapiga kura) ili waweze kuzielewa.
Rush hour 3....Chris Tucker anaongea kwa kiswahili lafudhi ya kizanzibari.
Km wewe ni mzalendo mpiga kura nakushauri nunua Azam, hutojilaumu.