itabidi tukisubirie kwa hamu
Ni matumaini yangu kuwa chaweza kuwa na nafuu kuliko haya mauchafu ya star times
dstv ni kila kitu.hawawezi kuonyesha epl wakionyesha mimi nakufa
dstv ni kila kitu.hawawezi kuonyesha epl wakionyesha mimi nakufa
kiwe nafuu na quality itakuwa poa
dstv ni kila kitu.hawawezi kuonyesha epl wakionyesha mimi nakufa
Star tv wametangaza kuwa tayari TFF imeshaingia mkataba na Azam media kuonyesha ligi kuu tanzania bara ,kwa hiyo kitakuwepo