Azam kufuta Post za CHADEMA: Ujumbe mzuri kwa Media za Tanzania

wanaomiliki magazeti, radio na runinga mmezidi kuogopa. Yaani wamekuwa kama baradhauli wakimuona basha wanavua chupi kabisa. To hell na mlaaniwe yaani unamuogopa binadamu mwenzako kiasi hicho. Kwenye kampoeni itakuwaje, hiyo inaonesha kuwa vyama vya upinzani vitakosa coverage kwenye media. Hongera sana jamii forum kuruhusu clip za vyama vya upinzani kurushwa humu.
Ni hawahawa watu wa media wanaofungiwa vyombo vyao au kupigwa faini na Lissu amekuwa mtetezi wao subirini siku nchi hii ikipata Uhuru mtatafuta pa kutokea mbwa nyie.
 
Tanzania Daima likafungiwa
Bwana yule anaogopa ushindani na kukosolewa.
Media za bongo almost zote zinasifia mamlaka sasa hivi.
Hivi mtu unakuwaje mwoga kiasi hiki hadi kukosoa unashindwa!!
Actual mie niliwashtua tanzania daima sometimes in december last year kuwa wasiandike chochote kuhusu bwana yule na chama chake manake lazima watafute sababu ya kutupwa lupango hadi uchaguzi uishe na kweli yametokea
 
Chadema nunua camera za video zimejaa madukani nunua kifaa cha kurusha matangazo live, kama blackmagic, live U solo, vidiu livestream, teradek live, mevo, go pro, teradek livestream. Ili mrushe matangazo yenu kupitia mitandao yenu ya youtube. Halafu mshare link na muwaambie watu wa subscribe. Wafuasi washare link kila sehemu. Muda wa kampeni hakuna tv wala redio wala online tv itakayo onesha mambo ya upinzani hata moja. Yaani inatakiwa channel yenu iwe na subscriber kama milioni 5 hivi. Kulalamika hakutasaidia kitu chochote. Warushe clip kupitia account zao au watumie instalive popote walipo ili ujumbe ufike.

Kulalamika hakutasaidia kitu.
 
Na Malisa

Nimekuwa nikisoma kwenye vitabu na sasa nashuhudia kwa macho. Uhuru wa habari unakanyagwa na watu hawathubutu kukemea kwa sababu ya HOFU. Vyombo vya habari vilivyoalikwa kuripoti tukio la Lissu kuchukua fomu havijatokea kwa sababu ya HOFU.

Azam wakavuka kiunzi cha HOFU na kwenda kuripoti. Lakini ghafla wakakatisha matangazo na kufuta post zote zinazohusu Lissu kuchukua fomu. Nimeshangaa sana.

Kuna watu wanashangilia kuona uhuru wa habari ukiminywa ili wafurahishe mamlaka. Na wengine wanaogopa kukemea ili nao wasiingie kwenye makucha ya mamlaka. Tukifika hapa hakuna aliye salama.

Jana @advocate_jebra alieleza kisa cha Simba na Kondoo. Simba alifungiwa kwenye kizimba kwa siku kadhaa. Akawa anatafuta msaada wa kufunguliwa kwa nje. Kondoo akapita. Simba akamwambia nifungulie naahidi sitakula. Kondoo akamwambia Simba apa, akaapa. Kondoo akamfungulia.

Alipotoka akamrarua kondoo na kutaka kumla maana alikua na njaa ya siku kadhaa alizofungiwa kwenye kizimba. Wanyama wengine wakapita wakakuta Simba na Kondoo wakizozana. Kondoo akajielezea, Simba nae akajielezea. Simba akakiri ni kweli aliahidi hatamla kondoo lakini ana njaa ya siku 3 afanyeje?

Wanyama wote kwa sababu ya HOFU wakaunga mkono maelezo ya Simba kuwa amle tu kondoo, maana alikua na njaa.

Kobe akasema hajaelewa mkasa huo vizuri. Akamuuliza Simba unasema ulifungiwa kwenye kizimba? Simba akajibu ndio. Akamuuliza kipi? Akamwambia kile pale? Akamuuliza mbona kidogo sana? Uliwezaje kukaa humo? Simba akasema nilikuwemo. Kobe akamwambia hebu ingia tuone kama kweli uliweza kuenea humo. Simba akaingia, kobe akafunga komeo kwa nje na kuondoka.

Kobe akawaambia wanyama wenzie. Leo Simba angemla kondoo mngejiona mko salama kwa sababu si nyie mmeliwa. Lakini kesho angepata njaa tena, na hatujui ingekua zamu ya nani.

Ukiogopa kukemea uonevu haimaanishi kwamba upo salama. Inamaanisha umejiweka kwenye hatari zaidi. Leo vyombo vyote vimeungana na mamlaka kuzuia habari za Lissu. Nilipoona Azam wamerusha matangazo nikasema angalau tumempata Kobe wa kuokoa wenzie. Mara ghafla kobe huyo nae akaungana na wenzie kumtetea Simba amle kondoo. Bila kujua kesho Simba atapata njaa tena na hawajui itakua zamu ya nani. #Subhanallah
Watu wamekuwa wazarendo kwa nchi yao
Wakati mgombea wenu anatukana nchi mlikemea?
Wakati mgombea wenu anashirikiana na wezi wa Mali zetu mlikemea?
Wakati kuzi mgombea wenu anautangazia ulimwengu kuwa Tanzania Corona imejaa na watu wanakufa wengi mlimkea?
Wakati mgombea wenu anautangazia kuruhusu ushoga akishinda urais mlimkemea?
Navipongeza vyombo vya habari kwa kukataa kutumika kwa mtu asiye na mapenzi na nchi yake
Na muelewe , kurusha matangazo live ni gharama, mgombea wenu amewalipa shilingi ngapi?
Wakati watanzania wamefunga mkanda na kulipa Kodi, yeye alikuwa Ulaya anakula mishikaki!
Amechangia shilingi ngapi kwenye uchumi wa Tanzania huyo mgombea wenu
 
Dawa ya vyombo Kama hivyo vikiendelea no kususia bidhaa zao.
 
fumbua macho uone the big picture. Usiwe mjinga ktk utandawazi huu.
 
Kama ingewezekana watu wangeacha kuangalia TV za TZ na kuacha kununua magazeti na kusikiliza radio mpk baada ya uchaguzi. Mie frankly speaking niliacha kuangalia Star TV na TBC tokea 2015.
Tv,king'amuzi na umeme nigharimikie mie halafu niangalie ujinga wa kula mahindi barabarani!!!!!!! Walahi dunia naisimamisha na kuteremka. Shenzi type.
 
Na Malisa

Nimekuwa nikisoma kwenye vitabu na sasa nashuhudia kwa macho. Uhuru wa habari unakanyagwa na watu hawathubutu kukemea kwa sababu ya HOFU. Vyombo vya habari vilivyoalikwa kuripoti tukio la Lissu kuchukua fomu havijatokea kwa sababu ya HOFU.

Azam wakavuka kiunzi cha HOFU na kwenda kuripoti. Lakini ghafla wakakatisha matangazo na kufuta post zote zinazohusu Lissu kuchukua fomu. Nimeshangaa sana.

Kuna watu wanashangilia kuona uhuru wa habari ukiminywa ili wafurahishe mamlaka. Na wengine wanaogopa kukemea ili nao wasiingie kwenye makucha ya mamlaka. Tukifika hapa hakuna aliye salama.

Jana @advocate_jebra alieleza kisa cha Simba na Kondoo. Simba alifungiwa kwenye kizimba kwa siku kadhaa. Akawa anatafuta msaada wa kufunguliwa kwa nje. Kondoo akapita. Simba akamwambia nifungulie naahidi sitakula. Kondoo akamwambia Simba apa, akaapa. Kondoo akamfungulia.

Alipotoka akamrarua kondoo na kutaka kumla maana alikua na njaa ya siku kadhaa alizofungiwa kwenye kizimba. Wanyama wengine wakapita wakakuta Simba na Kondoo wakizozana. Kondoo akajielezea, Simba nae akajielezea. Simba akakiri ni kweli aliahidi hatamla kondoo lakini ana njaa ya siku 3 afanyeje?

Wanyama wote kwa sababu ya HOFU wakaunga mkono maelezo ya Simba kuwa amle tu kondoo, maana alikua na njaa.

Kobe akasema hajaelewa mkasa huo vizuri. Akamuuliza Simba unasema ulifungiwa kwenye kizimba? Simba akajibu ndio. Akamuuliza kipi? Akamwambia kile pale? Akamuuliza mbona kidogo sana? Uliwezaje kukaa humo? Simba akasema nilikuwemo. Kobe akamwambia hebu ingia tuone kama kweli uliweza kuenea humo. Simba akaingia, kobe akafunga komeo kwa nje na kuondoka.

Kobe akawaambia wanyama wenzie. Leo Simba angemla kondoo mngejiona mko salama kwa sababu si nyie mmeliwa. Lakini kesho angepata njaa tena, na hatujui ingekua zamu ya nani.

Ukiogopa kukemea uonevu haimaanishi kwamba upo salama. Inamaanisha umejiweka kwenye hatari zaidi. Leo vyombo vyote vimeungana na mamlaka kuzuia habari za Lissu. Nilipoona Azam wamerusha matangazo nikasema angalau tumempata Kobe wa kuokoa wenzie. Mara ghafla kobe huyo nae akaungana na wenzie kumtetea Simba amle kondoo. Bila kujua kesho Simba atapata njaa tena na hawajui itakua zamu ya nani. #Subhanallah
Advocate msomi anaongea vitu vya kipuuzi vya Abunuwas toka lini wanyama wakaongea lugha na kuelewana Kobe na Simba
 
CHADEMA walipofanya Mkutano Mkuu, hakuna chombo cha Habari (hasa Televisions) zilizokuwa tayari kwenda kurusha Mkutano huo LIVE!!

ACT - WAZALENDO walipofanya Mkutano Mkuu wao walipata chombo cha ITV wakafanya Live Coverage. Lakini Tundu Lissu alipoanza kuzungumza kwenye Mkutano huo ITV walikata sauti na hatimae walikata matangazo.

Leo NCCR - MAGEUZI wanafanya Mkutano Mkuu wao naona TBC wanarusha LIVE Mkutano huo.

Najiuliza kwanini vyombo vya habari vinaogopa sana mikutano ya CHADEMA?

Kaduma G.
 
Chombo chochote duniani ukiacha BBC swahili na jenerali haviwezi kutoa coverage ya TL kwani anayosema ni uchochezi, matusi na hatari kwa usalama wa nchi. Angalia juzi tu Kenya wamelaani KTN kurisha mahojiano na Tl
 
CHADEMA wajiandae. Kampeni za mgombea wao hazitakuwa "covered". Watafute njia mbadala.

Coverage inaelekea haitakuwepo kwa chadema kama utaratibu huu wa kuzuia media zisifanye coverage ya chadema na ACT zimeanza itakuwa shida. Chama changu kipenzi itabidi kijipange kweli kweli kama unavyosema. Naamini hata walio wengi ndani ya CCM hawapendi haya yatokee lkn yaelekea kuna nguvu ya kisuli suli somewhere inaogopa sauti ya Lissu na sera.
 
Back
Top Bottom