Ni kweli mkuu ila bongo nyoso sana kwenye sokaDah! Mkuu mbona unanitega? FAT ndo ikageuzwa TFF hivo wale waliotemwa kiuongozi FAT baadhi wakajiunga Azam.
Azam ni Simba B...unawezaje kuwaachia bure wachezaji 4 muhimu kwa mpinzani wako...Azam+Mtibwa+Simba wameungana ili kushinda VPL...nafwaaaaa
Hivi hamuoni aibu kuisema Azam na kuziacha Simba na Yanga??Tatizo kubwa la Azam ni poor Management yenye poor strategies..,