AZAM: Klabu kubwa ila timu ni ya kawaida sana

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,674
1,685
Klabu ya Azam ilipoanzishwa nilitegemea kuwa mbadala wa Yanga na Simba hapa nchini. Lakini walipozoa viongozi toka Simba na FAT nikaona hapo hakuna kitu.
 
Yanga kuifunga Azam ndio ilikuwa habari kubwa ukilinganisha na uwezo wa timu zote. Hili la Simba kuifunga Azam ni habari kama habari nyingine tu, kinacholeta mjadala ni nafasi ya kugombania ubingwa kwa Azam imepata pigo kubwa.
 
Azam ni Simba B...unawezaje kuwaachia bure wachezaji 4 muhimu kwa mpinzani wako...Azam+Mtibwa+Simba wameungana ili kushinda VPL...nafwaaaaa
 
Azam ni Simba B...unawezaje kuwaachia bure wachezaji 4 muhimu kwa mpinzani wako...Azam+Mtibwa+Simba wameungana ili kushinda VPL...nafwaaaaa

Mwanzoni mlisema Simba kaingia mkenge kuchukua wahenga 4, eti Azam ni wajanja wameoffload mizigo sababu ya umri na majeruhi, sasa mnazungumza vinginevyo. Kuna watu hamjawahi kueleweka
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom