wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,764
- 2,203
Maemdeleo gani mkuu?
Kuingia fainali ya ligi ya mabingwa Africa au kuchukua kombe kabisa
Maemdeleo gani mkuu?
hivi kalimangonga hayupo azam?!
Kuingia fainali ya ligi ya mabingwa Africa au kuchukua kombe kabisa
Kalimangonga alienda kuongeza elimu ya ukocha Uingereza. Kwa kutimuliwa kwacOmog, bila shaka Kali yuko njiani kurejea Azam.
yupo shule, kwao Uingereza
kumbe jamaa si mtanzania huyu eeh
Kocha kama kashindwa kazi lazima afukuzwe sisi tunataka maendeleo sio kelele
kwa mbali namuona maximo na msaidizi wake haoooo watua azamfc