Umeongea jambo la maana sana, Azam ina wachezaji wengi sana wenye viwango vya kawaida tu ila wanapaishwa na watangazaji wao, pale azam wachezaji wenye viwango vya kuchezea azam ni Morris, tchetche, sureboy, kavumbagu, domayo, wawa, kapombe, manula, majwega na boko wengine wana hadhi ya kuchezea timu kama jkt ruvu, prisons, mwadui na majimaji ya songea.tatizo watu wa AZAM hususani watangazaji wao hawajikiti kubainisha mapungufu ya timu yao. muda wote wanasifia tuu mara ooh aishi manula anastahili kuchezea ulaya na blah blah nyingine. ukweli ni kwamba licha ya utajiri wao lakini wachezaji wao wana quality ya kawaida tu tofauti na wao wanavyovumisha. kitu pekee cha wao kupigania ni kushawishi TFF iruhusu usajili wa wachezaji wa kigeni kwa idadi isiyo na kikomo. kwa kufanya hivyo azam na timu nyingine za tz zitaweza kupambana kwenye michuano mikubwa
Umeongea jambo la maana sana, Azam ina wachezaji wengi sana wenye viwango vya kawaida tu ila wanapaishwa na watangazaji wao, pale azam wachezaji wenye viwango vya kuchezea azam ni Morris, tchetche, sureboy, kavumbagu, domayo, wawa, kapombe, manula, majwega na boko wengine wana hadhi ya kuchezea timu kama jkt ruvu, prisons, mwadui na majimaji ya songea.
Wafanye mabadiliko ya wachezaji kwa kuondoa wachezaji mizigo.
Kuna hawa watangazaji wa azam tv, mmoja anaitwa Twalibu Omary Muwa na mwingine anaitwa Nurudin Sulleiman hawa watangazaji ndo hamna kitu kabisa wana mahaba ya ajabu sana kwa mwajiri wao.Wanaleta mahaba ktk soka...