mechi ya yanga vs polisi ni saa 11 alafu azam fc vs kmkm ndo saa 2:15 usiku
Game ya yanga vs polisi saa 11:00 badala ya saa 2:15 usiku, mpira utaanza hivi punde.
subirini kipigo tukikutana naona unaniogopa teh teh kweli ukiumwa na nyoka hata jani likikugusa unaruka
Dk ya 20, yanga 0-0 polisi
teh leo mambo magumu police wanapigisha kwata
daah naona uyu mvuvi kabahatisha hapa yanga 1