Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Gooooooooool! yanga 1-0 polisi, Andrey coutinho anaiandikia yanga goli la kwanza.
CC. brave one, uwe unaandika namna hii.
Last edited by a moderator:
Gooooooooool! yanga 1-0 polisi, Andrey coutinho anaiandikia yanga goli la kwanza.
Gooooo Yanga 2
Leo shuzi limepata mjambaji..
huyo ni gharasa nini..uyu sherman kafunga goli hata wema sepetu hawezi kosa yanga 2
Treni limekata breki!
najua watafanya lakufanya ili zikutane..Sisi hatuna ishu na timu yoyote isipokuwa Simba, tunawatafuta hao. Ngoja wajilengeshe watajuta kwenda Zanzibar.
huyo ni gharasa nini..
Semeni mtakavyoweza, sisi tunasonga mbele.
najua watafanya lakufanya ili zikutane..
Yanga imeenda Zanzibar kufanya mauaji, kwa chochote kinachokuwa mbele yake.
Tunawasubiri mikia.
45+1 Yanga 2-0 polisi
Yanga imeenda Zanzibar kufanya mauaji, kwa chochote kinachokuwa mbele yake.
Tunawasubiri mikia.